JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hapa juzi kati nilienda Mombasa,nikitembea kila baada ya muda nasikia 'bomu mzee' nikawa nastuka vipi mbona hali si shwari au nirudi kwenye giza la Ngeleja ? baada ya muda nikamuuliza mtu vipi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
What do u call,''missed call'' in kiswahili?
0 Reactions
22 Replies
2K Views
hakimu:"ni sababau gani iliyokufanya,uchukue kiti na kumpigia mmeo kichwani,bila huruma?" Mtuhumiwa:"meza ilikuwa nzito"
0 Reactions
14 Replies
2K Views
The Window from which we look A young couple moves into a new neighborhood. The next morning while they are eating breakfast, The young woman sees her neighbor hanging...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mgombea ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la igunga amekutwa anabanduliwa katika moja ya vichochoro mjini igunga. mashuhuda wa tukio hilo la aibu wamedai kuwa vijana hao ambao walikuwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Rose1980 Yesterday 10:42 JF Senior Expert Member Re: Ooh my kumbe leo ni 19.09 HONGERA KAKA me yangu keshoooooooooooo...20.9
0 Reactions
39 Replies
3K Views
jamni sijui ni mimi tu au .. Kuna avatar nyingine humu ndani zinakuvita tu usome hoja zao uone walicho andika loohhhhh saa nyingine unatabasamu peke yako mbele ya screen , waangali kulia kushoto...
3 Reactions
143 Replies
10K Views
Ni jambo la kushukuru Mungu na lakupendeza kuona jamii inaishi kwa umoja na kwa upendo.Lakini kwa hali sasa inavyoeonekana katika nchi yetu imeshakuwa kama tunaelekea kupoteza umoja wetu na upendo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Norma Jean Young revealed to The Globe that her son Donald, who was openly gay, was a “close friend” of Obama. Mrs. Young also believes the Chicago Police Department has not placed a high priority...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Unakuta dada anamaziwa mazuri kama ndo saa 7,chuchu zimesimama kama koni.halafu amevaa sidiria transparent(inaonesha) maziwa yote du. Wenyewe wanaona ni stail ila du wananichanganya. Du hii...
0 Reactions
22 Replies
16K Views
The guest speaker has been talking for more than three hours already. The audience was getting bored and restless. Finaly the speaker gasped, "My goodness, I must have been talking for hours! Is...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi nachukia wadada mnaovaa Skintite mnaondoa maana halisi ya mwanamke!!
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Daladala la ubungo-mbagala lilipofika buguruni. (KONDA);Oya oya mbagala vp mnaenda? (ABIRIA);Tukafanye nini? SWALI;Ungekuwa wewe ndo konda wa hiyo daladala,ungewajibu nini hao raia?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jamaa baada ya kutoka dili mida ya saa mbili usiku alijisachi na akapata hana nauli ya taxi.hivyo akasimamisha taxi huku akipiga mahesabu itakuaje.alipouliza bei dereva akamuambia elfu...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
A businessman sends an email to his wife. 'My Dear Wife, You will surely understand that I have certain needs that you with your 54 years can no longer supply. I am very happy with you and...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada: Niko mbali na nyumbani kwa muda mrefu sasa, nimelikumbuka sana pilau na hapa ugenini hakuna restaurant/hotel wanayopika pilau. Please wenye kujua namna ya kupika pilau...
0 Reactions
40 Replies
16K Views
wakuu hili jambo nimelifatilia kwa muda mrefu sasa wengi wetu hapa jf tunapenda sana zile topic nyepesi hasa za mapenzi,utani na jokes,dini na nyingine kama hizo ikitokea topic ya kuumiza kuchwa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kijana mmoja miaka ya 90,alimbaka bibi yake mzaa baba.baba akachukia na kumpeleka mtoto mahakamani,cku ya kesi,jamaa akaulizwa na hakimu akakubali,kuwa ni kweli,lakini kwa nini baba yake kachukia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ingekukuta hii...... Uko ndani ya "mkoko" boomba kabisa, unamwona binti mzuuuri, unaamua kumpa lifti. Akiwa ndani ya gari binti anapoteza fahamu, unaamua kumkimbiza hospitali, wakati ukisubiri...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
A doctor has some urgent matter coming up. He calls his orderly, Kapal, and tells him “Kapal, I have to go off for the afternoon, we don’t want to close the clinic, can you take care of our...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom