its too heavy!

its too heavy!

Sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
hakimu:"ni sababau gani iliyokufanya,uchukue kiti na kumpigia mmeo kichwani,bila huruma?"
Mtuhumiwa:"meza ilikuwa nzito"
 
ha ha ha kweli mke amemchoka mume wake sana embu mtu ajaribu kumsaidia meza tuone?!
 
Huyo jamaa itakuwa alitembea na hausigeli wife akawabamba lol!
 
kwa maana nyingine meza ingekuwa nyepesi (kunyanyua) asingetumia kiti....ha ha ha ha angemtwisha meza................
 
Back
Top Bottom