Mgombea ubunge uchochoroni

msani

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
1,801
1,188
Mgombea ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la igunga amekutwa anabanduliwa katika moja ya vichochoro mjini igunga.
mashuhuda wa tukio hilo la aibu wamedai kuwa vijana hao ambao walikuwa wanambandua mgombea huyo walisema kuwa tangazo hilo lilikuwa la uchaguzi mkuu uliopita na sasa wanabandika matangazo mapya yanayohusu uchaguzi huu mdogo.
ulikuwa unatarajia nini mbona unashangaa?!!!!
 

Likwanda

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
3,912
1,126
Haa!, kumbe na wewe wataka pilau, pita ukapakuliwe nyuma huko, yupo Dk Kafumu mpishi.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom