Kumbe inawezekana watanzania woote kutibiwa bure!!!

Nzowa Godat

JF-Expert Member
Jun 15, 2011
2,783
819
Michango au ushuru wa bima ya afya tunayochangia au kukatwa kwenye mishahara yetu sisi watumishi wa serikali, inaweza kutumika kuwatibu walala hoi ili wasitozwe chochote wanapohudhuria medical clinic. "Watu wanaangamia kwa kukosa hela"
 
.... yaani hizo Pesa zisitumike kuwapeleka viongozi nje kwa matibabu zije ziwatibu Raia wa kawaida?
Hujui kwamba tunahitaji viongozi wenye afya njema ili waweze kusaidia kulisukuma mbele gurudumu, eti kusukuma gurudumu, yaani wasaidie wageni kuchota rasilimali zetu??
 
inawezekana mbona marekani imewezekana na kenya nao wako mbioni kutekeleza hilo lakini kwa tz sidhani kama kuna serikali wala waziri wa afya, tungojee chadema waingie madaraka ili waanze mshakato huo.
 
Back
Top Bottom