Saa ya kuongozwa na wachaga ama wahaya; wengine wote bomu kwa kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saa ya kuongozwa na wachaga ama wahaya; wengine wote bomu kwa kweli

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Pdidy, Oct 1, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,626
  Likes Received: 5,788
  Trophy Points: 280
  nimewiwa kuomba watanzania
  2015 tuaachane na ukaskazini na kusini sasa tuweke watu wenye akili zao na ambao wanawae
  kuendeleza nchi hii bila kutumika kama washmba pale magogoni

  nimewiwa kusema hivi najua wengi akuna atakaepingana na mimi hivi vichwa hapo juu vina akili ya kutosha
  usiniulize vilikula nini utototni kama uamini nenda tra bot na makampuni makubwa unayojua yenye maendelea ukikosa rutashobya
  basi lyimo yuko pembeni ukikuta massawe ceo basi mutalemwa assistant akiondoka masawe na mutalemwa
  ringo anakaimu nimejiuliza kama awatu hawa wanaweza kutuendeleza katika nchii nchi kwa nini tusijaribu kuwapa nchi jamani

  Mungu awape mwanga wa kuona mbali jamanai uwezi kuwa waziri wa mambo ya nje miaka kumi kila mwaka uko nje alafu unafika
  ikulu kila ndege ya emirates umebook wewe hii ni aibu kama wachaga sidhan wanaitaji kwenda nje kuomba misaada tutaamisha mlima kilimanjaro
  urudi dar
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,987
  Likes Received: 691
  Trophy Points: 280
  Hii umeisikia clouds au umeitoa kichwani?
  Hahahahahaaa!pdidy at it again.
   
 3. M

  Makupa JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mbona umesahau wanyakyusa jamani hata wao wako juu siri kubwa ya haya makabila matatu ni shauri ya kula ndizi kwa wingi kuliko ugali
   
 4. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  dah...ngoja nimalizie kitimoto yangu nitarudi tena badae........
   
 5. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 160
  mwenye uwezo apewe nafasi bila kuangalia ukubwa au ustaarabu wa kabila
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  kazi ya kuikomboa Tanganyika ni ya Watanganyika wote.

  kama walivyofanya kwa Msigwa, kama walivyofanya kwa Zito, kama walivyofanya kwa Shibuda, kama walivyofanya kwa Sirinde, kama walivofanya kwa Sugu, kama walivofanya kwingineko.

  This is war.

  Tukibweteka kusema hii ni kazi ya kabila fulani tutaharibu.

  This is the war to liberate Tanganyika from the hands of Mamwinyi.
   
 7. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  You have said it all!
   
 8. p

  politiki JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  tatizo lako kubwa wewe ni shule tu ndio ingeweza kukukomboa na mawazo yako hayo ya ukanda, ukabila na pia siwezi kushangaa pia ukawa mdini vilevile. ukisoma vyuo mbali mbali utakutana na watu wazuri wa makabila mbali mbali wenye uwezo mkubwa mpaka wewe mwenywe una appreciate kuwa mkuu huyu amenizidi uwezo na anastahili. lakini kama umekulia mtaani tu lazima uwe na akili ya kwamba sijaendelea labda kwa ajili ya kabila langu au dini yangu lakini ungekwenda shule unakuwa na reasoning power tofauti na una appreciate tofauti yako na mwingine na siyo kuhisi huyu ni kwa sababu yeye ni kabila fulani au dini fulani.
   
 9. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,062
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana nawe kwamba kama jinsi tunavyotaka wapinzani nao wapewe nchi waongoze basi tukubali hata haya makabila tuyape tuone nao uwezo wao ukoje,huenda wakadeliver
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,626
  Likes Received: 5,788
  Trophy Points: 280
  nimeificha kwa nia njema unataka migomba yetu isafirishwe kama TWIGA eehh???
   
 11. S

  Shiefl Senior Member

  #11
  Oct 1, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umekosea kuweka trend na heading yake. Siyo wengine wote bomu utakuwa humtendei haki hata Nyerere maana yeye hakuwa mchaga
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,626
  Likes Received: 5,788
  Trophy Points: 280
  soma vizuri uelewe kijana mdogo
  shule aisaidii kuongoza hii nchi tunae dk yuko pale magogoni anaishia kusafiri na kuwapa shida vijana wa immigration na makundi yake ya safari kila miezi kadhaa abadilishiwe passport,,kwenye udini sijafika na sitofika kabisa
   
 13. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mkuu naona unayatusi makabila mengine.....sisi wasukuma je?? .kwa kweli ukiangalia kwa jicho la haraka ..sijui kama unaweza ukakuta M.k.w.e.r.e zaidi ya Kikwete kwenye post kubwa za juu! Ila siyo lazima uwe mchaga au mhaya kuwa na potential ya kuwa kiongozi mzuri.
   
 14. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #14
  Oct 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kawaida ya wana ccm ndo iyo.
  Kuna tofauti gani kati ya ndiz na ugali? We muhuni,
   
 15. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #15
  Oct 1, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  namkumbuka Nyerere ilisema mtu ukiona anaongelea ukabila hakuna lolote zaidi ya matambiko tu
   
 16. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #16
  Oct 1, 2011
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Na yule wa magogoni anatokea koo ipi kati ya hizo ulizozitaja?
   
 17. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #17
  Oct 1, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,987
  Likes Received: 691
  Trophy Points: 280
  Hahahahaa! Wewe bana umenichekesha sana. Kwa hiyo huwezi kukuta nkwere kwenye nafasi yoyote ya maana isipokuwa yule nkwere wa magogoni??

  unamjua mh. Juma Bwanamdogo? Mbunge wa chalinze...nimemkumbuka, yule jamaa ni kiazi kisichoiva!
   
 18. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #18
  Oct 1, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Yaani wewe unaona Wahaya na Wachagga ndio wanaweza kuongoza! Akili zingine bana kweli wewe ni Piddy Moshi
   
 19. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #19
  Oct 1, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  .............sifa zote anazo lakini hapana bwana! kwanini? Ahh Mkara!!!! hapana Nimemnukuu Mwl Nyerere maana tusichague kwa sababu ni mchaga au mhaya hata Karamagi nae anafaa?
   
 20. k

  kibunda JF-Expert Member

  #20
  Oct 1, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ki ukweli ni lazima kuchukua hatua. Kazi hii haihitaji ukabila hapa
   
Loading...