Sitaki viporo.

DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
538
86
jamaa mmja alkwa ametoka morogoro kijijin alpofka dar aliingia kwenye bar moja na kuagzia soda mhudum akamletea soda ya bardi alpomuuliza mhudum mbna soda ya bard akaambiwa ilikuwa kweny frij tang jana yle jamaa akang'aka "haiwezkanmnipe kiporo yan mmenpa soda ya jana mnataka nivimbiwe? Hapa ndipo unapata picha kuna sehemu TZ bado hawalijui JOKOFU,iv sababu ni nini?
 

brightrich

Senior Member
Nov 19, 2010
136
26
Alikuwa mgeni wa mambo ya Jokofu, wahenga walisema 'Kuku mgeni hakosi kamba mguuni'.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom