EBU CHEKA NA WEWE (from my yahoo mail)

Paul Kijoka

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
1,401
255
Katika basi mama mmoja altaka kumnyonyesha mtoto, mtoto akakataa, mama akamwambia 'nyonya km hutaki nampa anko anyonye' anko na kaka mmoja ambae ni abiria aliekaa pembeni na huyo mama ,mtoto akanyonya kidogo akaacha..mama akamtishia tena kumpa anko..ndipo yule kaka kwa hasira akahamaki akasema...
'mama hebu kua na msimamo, unajua nmeshapitiliza vituo viwili kwa ajili yako! hebu kua mkweli unanipa ninyonye au nishuke aaah''Mwisho wa wiki mwema!!!!

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,094
595
Katika basi mama mmoja altaka kumnyonyesha mtoto, mtoto akakataa, mama akamwambia 'nyonya km hutaki nampa anko anyonye' anko na kaka mmoja ambae ni abiria aliekaa pembeni na huyo mama ,mtoto akanyonya kidogo akaacha..mama akamtishia tena kumpa anko..ndipo yule kaka kwa hasira akahamaki akasema...
'mama hebu kua na msimamo, unajua nmeshapitiliza vituo viwili kwa ajili yako! hebu kua mkweli unanipa ninyonye au nishuke aaah''Mwisho wa wiki mwema!!!!Ila haya ni baadhi tu ya matisho ya kinamama wanapo kuwa na watoto wao! Bg up lakn.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom