A male patient is lying in bed in the hospital, wearing an oxygen mask over his mouth and nose. A young student nurse appears to give him a partial sponge bath.
Nurse, he mumbles from behind...
"Hi honey. This is Daddy. Is Mommy near the phone?"
"No Daddy. She's upstairs in the bedroom with Uncle Paul."
After a brief pause, Daddy says, "But honey, you haven't got an Uncle Paul."
"Oh yes...
Lizzy,MJ1,Ashadii,Husniyo,Aspirin,Pdiddy,Woman of substance,AD,SL,BB,Dena ,Nyamayao,King'asti,DC na vingunge wengine wa mmu embu rusheni nyuzi mpya hapa mmu,acheni uvivu bana!!!!!.
ps: niko...
nitakuwa ndani ya Iringa mjini kuanzia Jumatano, ningependa sana kuonana na wana JF ambao mnaishi Iringa
Kama vp tuwasiliane.. nitumie PM ili tupeane mawasiliano...
A man was walking in the street when he heard a voice.
"Stop! Stand still! If you take one more step, a brick
will fall down on your head and kill you."
The man stopped and a big brick fell right...
Jamani, baba mwenye nyumba wa ninapoishi, jumamosi alijaaliwa kupata mtoto wa kiume. Mtoto kapewa jina Graduation.
Nikauliza kwanini mtoto aitwe hivyo, kasema anataka mwanawe asome hadi awe Rais...
One day, a rich dad took his son on a trip. Wanted to show him how poor someone can be.
They spent time on the farm of a poor family. On the way home, Dad asked" Did you see how poor they are...
mwanasiasa akizindua mradi wa maji anafungua bomba la maji kisha ananawa mikono kuashiria imezinduliwa rasmi.
sasa swali langu mwanasiasa akiwa anazindua choo anafanyaje ? tuache siasa, AU...
Hivi ni kwangu tu au na kwenu pia? Kitufe cha "Thanks" kimetoweka tena.
I don't mean to complain but this is now getting childish and ridiculous. Mara mkilete mara mkipotezee. Tuwaeleweje sasa...
Mchunga ng'ombe mmoja baada ya kupata cha-malawi cha kutosha,alianza kukimbia huku ameinama.Alipoulizwa ni kwanini anakimbia huku ameinama,akajibu;Mawingu yameshuka usawa wa kichwa changu.
Salam! Mimi ni Mwanaume nina miaka 36. Ninaishi na kufanya kazi hapa Dar es Salaam natafuta mke awe na umri kuanzia miaka 27, mnene aliye tayari kupima VVU na kufunga ndoa ya kikristo kanisani...
Ukipigwa ban unaenda jela, mod ni hakimu halafu ni askari magereza.
Bujibuji ni jike, limeolewa na lina watoto tisa, kila mtoto na baba yake, ndugu kibao kutoka kila kona wanakuja kumsabahi...
One day a mechanic was working late under a car and some brake fluid dripped into his mouth.
"Wow! That stuff isn't too bad tasting" he thought. Next day he told his buddy about tasting the...
WOMEN SAYS : I only had sex 4 guys, but still everybody calls me a slut...
U had sex with 19 girls and everybody calls you a real man... Why????:-
MAN replied : It is because wen a Lock Opened by...
Je ukiambiwa uandae bango dhidi ya malipo ya DOWANS vipi BANGO lako likoje. LIDROP HAPA kama vipi. La kwangu kama hivi.
HALI NGUMU ROSTAM,LOWASSA NA MSABAHA JILIPENI WENYEWE WANANCHI HATUNA PESA.
A Man bought a Lie detector robot that slaps people who lie.
He decided to test it at dinner:
Dad: Son where were you today during school hours?
Son: At school (robot slaps son)
...
Son...
Jamaa mmoja alikua anakata roho na mkewe alikua karibu nae akimuaga huku akitapatapa kwa maumivu, jamaa kuona haponi tena akamwambia mkewe. "mke wangu naomba unisamehe kuna kosa kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.