Duh Ata ufanyeje hatoi na hakupi

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,039
Yaani ata ufanye nini hatoi na anaweza ata kukuambia sikupi ata unifanye nini.Wengi wetu ambao tumejaribu kumwendea kusudi tuweze kumaliza au kutatua matatizo yetu anatutolea out.
Yaani mimi mwenyewe ameshanikatalia mara kibao yaani ata nikiwa naitaji siwezi kumwendea kwani ametamkia mara kibao kwamba anipi kabisa.
Sijui kitu gani kinamfanya hasitoe kabisa inafika mtu unataka lakini basi unaacha kwenda kumuomba ruhusa mkuu wetu kazini kwa msimamo wake wa kutotoa ruhusa.
 

Bambanza jr.

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
355
36
Yec....! Watz tumezidi mara 'ooh naenda ngoman' 'oooh! Jiran yetu kafiwa na mtoto wa shangaz yake! Aaah! Uvivu na utoro kazin, kila siku sababu za uongo kaz haziendi. Jaman eeeh...! Ebu tuchapen mzigo!
 

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,432
18,126
Unatumia kidole kimoja,inakiingiza taratibu,ukiona kidole kipoja hakitoshi unatumia vidole viwili halafu inaingiza pole pole huku ukisugua,hii ndo njia sahihi ya kusafaisha glasi
 

Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,236
4,041
Unatumia kidole kimoja,inakiingiza taratibu,ukiona kidole kipoja hakitoshi unatumia vidole viwili halafu inaingiza pole pole huku ukisugua,hii ndo njia sahihi ya kusafaisha glasi
hii nimeipeda
 

Akami

Member
Sep 18, 2009
82
14
Mi si nikajua hatoi mambo yetu yaleee,nikawa najisemea si mnipe na mimi nafasi nimuombe!
 

Pota

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
2,018
705
ukitaka kujua utamu wake inabidi ukatiwe halafu uchokonolewe, hapo ndo utajua utamu wa dafu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom