Don't miss it,

Don't miss it,

Going Concern

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,213
Siunajua wasanii wa bongo mbwembwe zao wakipanda jukuani? Akaanza wa kwanza
Mr.blue: oyoooh, blue hapa, akaimba kisha akashuka
Fid Q: ni fid q hapa, ngosha the don
Juma nature: ni juma nature hapa, mtoto wa kiumeni,
akapanda msanii mpya toka mkoa flan hivi, jina lake anaitwa KINYA ilikua ivi,
KINYA: Oyoo Dar es salaam niKINYA hapa,
watazamaji sasa: acha usenge, ukinya unazoa,
 
Big Up, lakini hii nilimsikia Uncle wangu wa std3 kitambo kidogo.
 
Back
Top Bottom