Wanakosea kuthibiti Ukimwi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanakosea kuthibiti Ukimwi.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by uporoto01, Jul 18, 2011.

 1. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwa waliokuwepo mwanzoni mwa mwaka niliweka hapa kichekesho kuhusu 'ripoti ya Mwaka' niliyotumiwa na mfanyakazi mwenzangu wakike mwenye utani sana,sasa kanitumia sms nyingine kuhusu serikali inavyokosea kuthibiti Ukimwi.

  'NYEGE' ni mdudu hatari asiyeonekana na kuishi katika mwili wa binadamu (..........)-hapo nimeacha kwa ajili ya maadili,cha ajabu serikali inapigana na Ukimwi na kutumia hela nyingi na watu wanazidi kufa na muda unaenda,hivi kwanini serikali isianzishe kampeni ya kuteketeza mdudu huyu hatari 'NYEGE' anayesababisha yote haya ?

  Tafakari na uokoe maisha ya watu.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Kha kha kha kha!
  Leo hupati unyumba umeongea matusi.
   
 3. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ningeweka hiyo sehemu niliyoacha je si ungeomba ipelekwe Jukwaa la Maria.
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  tena na wewe mwenyewe ningekupa talaka 1 ya kujirekebisha. Lol.Ngoja nikajitibu huyo mdudu. Byeeee..
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,025
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Jamani jamani,teh teh...........
   
 6. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  HAa!? Ina maana hujui kama juhudi za maksudi hufanywa na serikali kwa kuweka kerosene kwenye chakula cha wanafunzi wa bweni na kemikali nyingine huwekwa kwenye chumvi, vyandarua, soda, bia, n.k. Dawa za kuongeza nguvu za kiume ndio maana zimekuwa dili.
   
 7. brightrich

  brightrich Senior Member

  #7
  Oct 13, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  • Mimi ndo maana naogopa kutumia vyandarua vyenye dawa, mmmmh inaelekea ndugu yangu Nzowa uko karibu na ukweli kabisa.
   
 8. B

  Bukijo Senior Member

  #8
  Oct 13, 2011
  Joined: Jul 28, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Vinapunguza nguvu za kiume,husababisha joto na pia vinakemikali zinazoweza kudhoofisha mwili wa binadamu!! Malaria haikubaliki!!!!
   
 9. Barraza

  Barraza JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  mbona waleta matusi hadharani sheikh?
   
 10. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Hamna kitu...midume inamaliza nguvu zote nyumba ndogo/vimada halafu akija home anasingizia chandarua inampunguza nguvu za kiume!
   
 11. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  hilo jukwaa liko wapi,nalitafuta sana
   
 12. v

  valid statement JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  iyo kali....lakini huyo mdudu nyege ana faida zake pia mdau, ndo mana leo wewe upo unaishi leo hii!
   
Loading...