Nifanyeje,anapenda kunilamba sana

Nifanyeje,anapenda kunilamba sana

Alexism

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
3,423
Reaction score
2,046
Wanajanvi naomba msaada kuondokana na tatizo hili.Kwani anapenda sana kulamba lamba ata mimi ananilamba sijui chanzo ni nini?
Yaani ata nikitoka kazini nafungua gate utaona tu ameanza kutoa ulimi nje na kuanza kunilukia hapo basi anaanza kunilamba. Mbwa wangu huyu ata nikimpa chakula anaanza kunilamba mikono ata chakula analamba kwanza ndo anakula.
Msaada kama ni ugonjwa naomba msaada.
 
Alikula Limbwata ulompa mwenza wako
 
Kuwa muwazi anakulamba nini? au una asali, unajuwa mtu mzima anapoomba ushauri anapaswa kuwa muwazi ili kupisha nakuruhusu mawazo ya hao anaowaomba ushauri. Please kuwa muwazi boss.
 
Lakini usijali, hiyo ni ishara ya upendo na shukrani kwako kwa yote unayomtendea ktk maisha, so dont feel bad uko pouwa na yeye yuko pouwa kabisa.
 
Wanajanvi naomba msaada kuondokana na tatizo hili.Kwani anapenda sana kulamba lamba ata mimi ananilamba sijui chanzo ni nini?
Yaani ata nikitoka kazini nafungua gate utaona tu ameanza kutoa ulimi nje na kuanza kunilukia hapo basi anaanza kunilamba. Mbwa wangu huyu ata nikimpa chakula anaanza kunilamba mikono ata chakula analamba kwanza ndo anakula.
Msaada kama ni ugonjwa naomba msaada.

Huoni soni kujitangaza hadharani kwamba wewe unaf.....nywa na gu dogi!
 
Jokes and Udaku bwana haya wewe mshindi ila du mawazo ya watu wanakimbilia kule.Jamaa kasema mbwa wake anamlukia anapenda kulamba mikono ila watu mmekimbilia kuleeee kwani ata ng'ombe anamlamba mtu aliyemzoea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom