JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Heshima yenu wakuu. Mimi nimetokea kumpenda mwana jf mwenzetu anayeitwa Mayasa. Nimejaribu kumu PM lakini hanijibu..wala hata salaam hajibu.nimemtumia namba ya simu anibeep imeshindikana. kusema...
1 Reactions
58 Replies
6K Views
Kwenye taarifa ya habari TBC1 leo 23/11/2011 saa mbili usiku,kuna haka kachalii kanaitwa sijui Chifu Msopa kutoka sijui chama cha wapenda amani tanzania (if that is). Madai yake eti wanaiomba...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Kuna jamaa mmoja alikutana na rafiki yake, rafiki akamwambia jamaa hongera bwana una bahati sana, jamaa akauliza kwa nini, rafiki akasema toka umeoa umekuwa milionea, jamaa akasema nipe pole...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Which best qualifies as 1st where u're? As for me it's "folk"
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kikwete: Kwanza napenda kuwashukuru kwa kuonesha njia njema kabisa ya Kuzungumzia Mustakabali wa Katiba ya nchi yetu. Kwa kweli nimefarijika sana na ninawapongeza sana kwa moyo wa kizarendo...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Mkoa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Sambwee Shitambala ameendelea kukiponda chama hicho akisema ni cha wanafamilia wanaokitumia kujinufaisha...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
A psychology professor at the University of Miami knew his students expected a terrifyingly long final exam. To play with their minds a little (what do you expect from a psychology professor?)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Nimeamua kutafuta bunduki hiyo matata kwa ajili ya kujilinda tu, wala si kushambulia. Naomba nisomeke, siku ya Kibamba day nataka niwe nayo ili polisi wasiniguse wala kunisogelea.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamani naombeni msaada, huu wimbo nafikiri ni wa Bwana Misosi ulitamba sana miaka ya 90, kama kuna mtu mwenye link ya You Tube anisaidie, link ninayoipata ni hii Bwana Misosi - Mabinti wa Kitanga...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wavuta bangi wawili baada ya kuvuta bangi yao wakawa wanatembea kwenye shamba fulani, wakauona muembe ukiwa na embe linaning`inia, wakaanza kulipopoa na mawe, walifanya hivyo kwa muda mrefu lakini...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
watanzania wenzangu napenda kuwafahamisha kuwa, jamaa wa chadema walisha kubali kuwa wao wataendelea kuwa wapili tu katika kila uchaguzi wa rais na wabunge hapa nchini, na ndiyo maana hata...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kati ya NAPE na magamba ma3 nani ni mwanachama wa magamba na nani mwenye chama?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwema wapendwa? Kutokana na malalamiko ya baadhi ya members kuhusu avatar yangu, nimeamua kuchukua maamuzi ambayo ninadhani ni sahihi kwa mustakabali wangu na mustakabali wa JF kwa ujumla. Baadhi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mambo ya mshahara kutokupanda kwa kukidhi VS bei ya mafuta, sukari etc
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Kula gizani ni kula na shetani. To eat in the dark is to eat with the devil. This belief discourages eating In the dark, for obvious reasons. Kushona nguo mwilini kunaleta ufukara; tabia hii...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
jamani nawaombeni sana watu ambao mnapenda kufanya sherehe bila ya kuwa na fedha muache tabia hiyo. unakuta mtu hana hela ila anapenda tu kuwakusanya watu na kuwapotezea muda kwa mambo yasiyo na...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari ya siku wapendwam Nimewamiss sana maana sikuwa kwa jukwaa kwa muda kidogo but now nimerudi. Leo natangaza rasmi kwamba nataka kuwa JF Premium Member kwasababu nimekuwa naanzisha threads na...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari wana jf. Rafiki yangu mmoja amenisimulia juu ya bro wake aliyeoa mke kutoka kigoma. Sasa jamaa alikuwa anatoka nje ya ndoa ila kila akikutana na hawara yake, jogooi hasimami ila akirudi kwa...
0 Reactions
99 Replies
12K Views
Habari za mchana wanajamvi? Nina swali kidogo la uzushi. Ni hivi umemtia mimba mwanafunzi na kosa la kumtia mimba mwanafunzi nchini Tanzania ni kwenda jela miaka 30,baba wa mwanafunzi ameshashtaki...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
pamoja na ukweli kwamba ni maadui wangu wa muda mlefu,ila nawapenda tu baasi,maadui zangu wenyewe ni 1.Tropical 2.Rejao 3.ritz 4.Faiza foxy 5.mzee..nimewapanga kulingana na uzito wa wa kero zao...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…