JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nafika posta on ma way to job nagundua nimesahau simu, sasa nikamuona mdada kasimama (simjui) nikamwambia naomba simu yako nimtaarifu mtu aje nayo akasema hana vocha..... Ikabid ninunue lol, duh...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Michango na gharama za matumizi ya shughuli za kijamii kwa siku hizi ni maajabu! Mtu akiugua, watu wanavuta miguu sana kuchangia matibabu.Akifa ndio utashangaa budget zinatengenezwa na michango...
7 Reactions
47 Replies
4K Views
[Tough! To marry him three times with the iPhone 4s Siri] A person from http:// Shop Authentic New iPad 2,New iphone 5,Factory Unlocked iPhone 5,New BlackBerry Playbook from Apple2010.com bought...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Sijui kwanini wanakuita AFRODENZI Happy Birthday, Pumpkin Happy Birthday, Dear Happy Birthday, To You Happy Birthday AFRODENZI Your Birthday makes this day all more special and beautiful, may...
22 Reactions
300 Replies
23K Views
Jina la huyu jamaa gumu kuandika kwa mimi. Namshauri asome RAIA MWEMA UGHAIBUNI ukurasa wa19 Evarist wa Uskochi kasea maneno ambayo inabidi ayajue.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Heshima yenu wakuu. Mimi nimetokea kumpenda mwana jf mwenzetu anayeitwa Mayasa. Nimejaribu kumu PM lakini hanijibu..wala hata salaam hajibu.nimemtumia namba ya simu anibeep imeshindikana. kusema...
1 Reactions
58 Replies
6K Views
Kwenye taarifa ya habari TBC1 leo 23/11/2011 saa mbili usiku,kuna haka kachalii kanaitwa sijui Chifu Msopa kutoka sijui chama cha wapenda amani tanzania (if that is). Madai yake eti wanaiomba...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Kuna jamaa mmoja alikutana na rafiki yake, rafiki akamwambia jamaa hongera bwana una bahati sana, jamaa akauliza kwa nini, rafiki akasema toka umeoa umekuwa milionea, jamaa akasema nipe pole...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Which best qualifies as 1st where u're? As for me it's "folk"
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kikwete: Kwanza napenda kuwashukuru kwa kuonesha njia njema kabisa ya Kuzungumzia Mustakabali wa Katiba ya nchi yetu. Kwa kweli nimefarijika sana na ninawapongeza sana kwa moyo wa kizarendo...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Mkoa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Sambwee Shitambala ameendelea kukiponda chama hicho akisema ni cha wanafamilia wanaokitumia kujinufaisha...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
A psychology professor at the University of Miami knew his students expected a terrifyingly long final exam. To play with their minds a little (what do you expect from a psychology professor?)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Nimeamua kutafuta bunduki hiyo matata kwa ajili ya kujilinda tu, wala si kushambulia. Naomba nisomeke, siku ya Kibamba day nataka niwe nayo ili polisi wasiniguse wala kunisogelea.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamani naombeni msaada, huu wimbo nafikiri ni wa Bwana Misosi ulitamba sana miaka ya 90, kama kuna mtu mwenye link ya You Tube anisaidie, link ninayoipata ni hii Bwana Misosi - Mabinti wa Kitanga...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wavuta bangi wawili baada ya kuvuta bangi yao wakawa wanatembea kwenye shamba fulani, wakauona muembe ukiwa na embe linaning`inia, wakaanza kulipopoa na mawe, walifanya hivyo kwa muda mrefu lakini...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
watanzania wenzangu napenda kuwafahamisha kuwa, jamaa wa chadema walisha kubali kuwa wao wataendelea kuwa wapili tu katika kila uchaguzi wa rais na wabunge hapa nchini, na ndiyo maana hata...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kati ya NAPE na magamba ma3 nani ni mwanachama wa magamba na nani mwenye chama?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwema wapendwa? Kutokana na malalamiko ya baadhi ya members kuhusu avatar yangu, nimeamua kuchukua maamuzi ambayo ninadhani ni sahihi kwa mustakabali wangu na mustakabali wa JF kwa ujumla. Baadhi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mambo ya mshahara kutokupanda kwa kukidhi VS bei ya mafuta, sukari etc
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Kula gizani ni kula na shetani. To eat in the dark is to eat with the devil. This belief discourages eating In the dark, for obvious reasons. Kushona nguo mwilini kunaleta ufukara; tabia hii...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom