Ni nani MWANACHAMA na nani MWENYE CHAMA?

Ni nani MWANACHAMA na nani MWENYE CHAMA?

Jeho

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
5,069
Reaction score
5,556
Kati ya NAPE na magamba ma3 nani ni mwanachama wa magamba na nani mwenye chama?
 
Utatu Mtakatifu ni ma-CEO wa chama. Nape ni mtumwa wao, he do not deserve hata kuwa mwanachama.
 
Back
Top Bottom