Mazungumzo ya kamati ya CHADEMA na Jakaya kwa ufupi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mazungumzo ya kamati ya CHADEMA na Jakaya kwa ufupi

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Sangarara, Nov 23, 2011.

 1. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Kikwete: Kwanza napenda kuwashukuru kwa kuonesha njia njema kabisa ya Kuzungumzia Mustakabali wa
  Katiba ya nchi yetu. Kwa kweli nimefarijika sana na ninawapongeza sana kwa moyo wa kizarendo
  Mliouonyesha.

  Kikwete: Pili naomba tusahau yote yaliyopita hasa ukizingatia ukweli kwamba hata Glass Kabatini ugongana
  Sembuse sisi binaadamu bwana, au siyo Bwana Mbowe.

  Mbowe: Ni Kweli Muheshimiwa, lakini kwa Maslahi ya Taifa Letu, Kuna mambo ya Msingi ambayo si busara
  Kuyasahu badala yake ni nyema kuendelea kuyakumbuka na kuyakumbusha mpaka pale yatakapopatiwa
  Majibu ya uhakika.

  Kikwete: Ni kweli, lakini ninachomaanisha ni kwamba kwa sababu tuko hapa kujadili mchakato wa kuandaa katiba
  Mpya ni vyema tukasahau yote yaliyotokea apo nyuma kama Maswala ya CHADEMA kutoka nje ya Bunge,
  Maswala ya Muswada ama kusomwa mara ya Kwanza ama Mara ya Pili Bungeni na hata Upitishwaji wake Bungeni
  Ukizingatia kwamba Bado sijausign kuwa sheria nikitambua kwamba Mazungumzo yetu leo yanaweza kuboresha
  zaidi mchakato huu kwa Maslahi ya Taifa.

  LISSU: Samahani Mheshimiwa Rais, Kwani wewe binafsi umeuonaje mchakato mzima ulivyokwenda mpaka kufikia
  Mswada huo kufikishwa kwako ili usainiwe kuwa sheria.

  Kikwete: Tehe tehe tehe, LISSU bwana, tehe tehe tehe, aaaahaaaa. Unajua, haya mambo bwana, ndio maana
  mimi nimesema hapa kwamba ni vyema tukasahau yaliyopita ama sivyo mazungumzo yetu yatakuwa mareefu
  sana na mwisho wa siku watanzania watatushangaa wote.
  Mimi, mimi, mimi dhamira yangu ni kuhakikisha kwamba, Katika mchakato wetu huu, hatufikii kwenye hatua
  mbaya kama majirani zetu, sababu haya mambo ukianza kuyawekea maandamano na mihadhara mwisho wake
  kwa kweli kabisa hauwezi kuwa mzuri.

  Anakunywa Maji kidogo, kisha anaendelea
  Pale Kenya pale, wakati wa mchakato wao damu imemwagika pale, sasa mimi siko tayari kuona hili linatokea hapa,
  na ndio maana hata kwenye swala la madiwani wa arusha, mimi niliwaelekeza Waziri Mkuu na Katibu wangu Mkama
  kuhakikisha Mnakaa, mnazungumza na kulimaliza hili, lakini kinachoendelea pale mi hata sikielewi nikiuliza naambiwa
  tatizo ni Lema, vyombo vya habari kwanza vilikuwa vinasema tatizo ni Chitanda, sasa Chitanda simsikii tena
  naambiwa tatizo ni Kamanda wa Polisi Zuberi na Mkuu wa Mkoa, mimi sielewi kabisa nini kinaendelea Pale, na hali
  hii inachafua kabisa picha ya nchi yetu uko nje.

  Anakunywa Maji tena.alafu
  Pale Arusha Pale, kile ni kitovu cha Utalii nchini Mwetu, sasa Arusha tukiichezea itatualibia kabisa kabisa, ndio maana
  mi nasema swala la Arusha tunatakiwa tukae kama hapa tuzungumze na kulipatia Muafaka. Hii nyumba tunajenga
  wote kwa nini tugombee fito Jamani.

  Mimi, mimi nasema, wakati tuko Kwenye kikao cha Kamati kuu Dodoma Pale, kuna watu walitaka kukataa nisionane
  na CHADEMA, mi nikasema hapana, Lazima nionane nao hawa, kwa sababu hata mimi hili swala la Katiba mpya bado sijalielewa
  vizuri.

  Kwa hiyo mi nawashukuru sana kwa Moyo wa Uzalendo mliouonyesha, na niko tayari kuonana na nyie na kuzungumza
  hata kwenye mambo mengine, sina tatizo hata kidogo na nyie, si unaona bwana, tumezungumza na hakuna mtu
  ametoka damu, hii ndio watanzania wanataka kuona.

  Mimi kwa kweli niwashukuru sana, na hizi ndio siasa za kizalendo kwelikweli, asanteni sana na karibu tena.
   
 2. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vipi umekuwa shekh yaya?
   
 3. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  utabiri wako waweza kuwa kweli subjectively
   
 4. P

  Panda Kapesi JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 284
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  Duh! Hii imekaa vizuri mkuu. Inaonekana unamwelewa jamaa inside out yaani ni kama yeye mwenyewe vile....!
   
 5. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  maongezi ndio yameishia hapo dudududududu shehe yahaya as usual
   
 6. de'levis

  de'levis JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,188
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  hahahaa..nimecheka kweli.........
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mi hata nahisi yatakuwa hivi hivi!
   
 8. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Wote wanaomshabikia JK wameamua tu kujisahaulisha,lakini Jamaa ni Myeyushaji number
  moja na anapenda sana kuongea kuliko kusikiliza wengine, na hata ukidhani anakusikiliza
  mambo atakayoibuka nayo wakati wewe unategemea kupata majibu utastaajabu.

  JK atatawala kikao Mwanzo Mwisho na atawavuta out of Agenda watachoka wenyewe.
   
 9. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Nimeipenda, ila ingefaa iwe jukwaa lake (chit-chat) huku kama imekosea njia vile!
   
 10. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Dah, kama kweli vile..!
   
 11. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Kikwete: Kwanza napenda kuwashukuru kwa kuonesha njia njema kabisa ya Kuzungumzia Mustakabali wa
  Katiba ya nchi yetu. Kwa kweli nimefarijika sana na ninawapongeza sana kwa moyo wa kizarendo
  Mliouonyesha.

  Kikwete: Pili naomba tusahau yote yaliyopita hasa ukizingatia ukweli kwamba hata Glass Kabatini ugongana
  Sembuse sisi binaadamu bwana, au siyo Bwana Mbowe.

  Mbowe: Ni Kweli Muheshimiwa, lakini kwa Maslahi ya Taifa Letu, Kuna mambo ya Msingi ambayo si busara
  Kuyasahu badala yake ni nyema kuendelea kuyakumbuka na kuyakumbusha mpaka pale yatakapopatiwa
  Majibu ya uhakika.

  Kikwete: Ni kweli, lakini ninachomaanisha ni kwamba kwa sababu tuko hapa kujadili mchakato wa kuandaa katiba
  Mpya ni vyema tukasahau yote yaliyotokea apo nyuma kama Maswala ya CHADEMA kutoka nje ya Bunge,
  Maswala ya Muswada ama kusomwa mara ya Kwanza ama Mara ya Pili Bungeni na hata Upitishwaji wake Bungeni
  Ukizingatia kwamba Bado sijausign kuwa sheria nikitambua kwamba Mazungumzo yetu leo yanaweza kuboresha
  zaidi mchakato huu kwa Maslahi ya Taifa.

  LISSU: Samahani Mheshimiwa Rais, Kwani wewe binafsi umeuonaje mchakato mzima ulivyokwenda mpaka kufikia
  Mswada huo kufikishwa kwako ili usainiwe kuwa sheria.

  Kikwete: Tehe tehe tehe, LISSU bwana, tehe tehe tehe, aaaahaaaa. Unajua, haya mambo bwana, ndio maana
  mimi nimesema hapa kwamba ni vyema tukasahau yaliyopita ama sivyo mazungumzo yetu yatakuwa mareefu
  sana na mwisho wa siku watanzania watatushangaa wote.
  Mimi, mimi, mimi dhamira yangu ni kuhakikisha kwamba, Katika mchakato wetu huu, hatufikii kwenye hatua
  mbaya kama majirani zetu, sababu haya mambo ukianza kuyawekea maandamano na mihadhara mwisho wake
  kwa kweli kabisa hauwezi kuwa mzuri.

  Anakunywa Maji kidogo, kisha anaendelea
  Pale Kenya pale, wakati wa mchakato wao damu imemwagika pale, sasa mimi siko tayari kuona hili linatokea hapa,
  na ndio maana hata kwenye swala la madiwani wa arusha, mimi niliwaelekeza Waziri Mkuu na Katibu wangu Mkama
  kuhakikisha Mnakaa, mnazungumza na kulimaliza hili, lakini kinachoendelea pale mi hata sikielewi nikiuliza naambiwa
  tatizo ni Lema, vyombo vya habari kwanza vilikuwa vinasema tatizo ni Chitanda, sasa Chitanda simsikii tena
  naambiwa tatizo ni Kamanda wa Polisi Zuberi na Mkuu wa Mkoa, mimi sielewi kabisa nini kinaendelea Pale, na hali
  hii inachafua kabisa picha ya nchi yetu uko nje.

  Anakunywa Maji tena.alafu
  Pale Arusha Pale, kile ni kitovu cha Utalii nchini Mwetu, sasa Arusha tukiichezea itatualibia kabisa kabisa, ndio maana
  mi nasema swala la Arusha tunatakiwa tukae kama hapa tuzungumze na kulipatia Muafaka. Hii nyumba tunajenga
  wote kwa nini tugombee fito Jamani.

  Mimi, mimi nasema, wakati tuko Kwenye kikao cha Kamati kuu Dodoma Pale, kuna watu walitaka kukataa nisionane
  na CHADEMA, mi nikasema hapana, Lazima nionane nao hawa, kwa sababu hata mimi hili swala la Katiba mpya bado sijalielewa
  vizuri.

  Kwa hiyo mi nawashukuru sana kwa Moyo wa Uzalendo mliouonyesha, na niko tayari kuonana na nyie na kuzungumza
  hata kwenye mambo mengine, sina tatizo hata kidogo na nyie, si unaona bwana, tumezungumza na hakuna mtu
  ametoka damu, hii ndio watanzania wanataka kuona.

  Mimi kwa kweli niwashukuru sana, na hizi ndio siasa za kizalendo kwelikweli, asanteni sana na karibu tena.
   
 12. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hahahaaaa,umenichekesha sana..na umeniongezea siku za kuishi.Ila inaonekana umevuta kidogo......
   
 13. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Du kama ni habari ya kubuni mdau unauwezo wa kufuatilia namna Presidar uwa anajieleza.Ila kama mazungumzo yameisha kabla hayajaanza [Has end before it start].

  Kama ndio yameenza hivi du pale kwenye swali la LISSU pana kijasho chembamba.
   
 14. l

  luckman JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Nimeipenda hiyo nahisi itakuwa zaidi ya hapa!
   
 15. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Maneno uliyotumia yanaonyesha wewe ni mbunifu. Hongera sana kaka/dada.
   
 16. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Inafanana na ukweli kwa mbaaali!
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Hadithi ya pwagu na pwaguzi!
   
 18. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #18
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Jinamizi, halipiti bila kuacha neno la kuudhi!
   
 19. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #19
  Nov 23, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  LISU,je mheshimiwa rais unataka kuwaaminisha watanzania mswada ule ulibadilishwa kiswahili kwa sababu wabunge hawajui kiingereza?
  na kama ni kwa ajili ya wananchi kwa nini hawakupewa muda wa kuujadili?
  KIKWETE, unajua bwana lisu nyie wanasheria haswa wa upinzani mnapekuwa mambo sana,nimekaa na wabunge wetu tumejadili namna ya kupitisha na wengi ni wanasheria lakini kwenye hili naomba yaishie hapa kwani kama wangenionyesha makosa yaliyo wazi kama hili ningewashauri vingine.
   
 20. M

  Mzalendoo Member

  #20
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hongera mdau ur a good narrator.yani kama vile ulkuwepo.
   
Loading...