Nani aliye karibu na Al shabab anisaidie! Nahitaji AK 47 haraka

Status
Not open for further replies.

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Nimeamua kutafuta bunduki hiyo matata kwa ajili ya kujilinda tu, wala si kushambulia. Naomba nisomeke, siku ya Kibamba day nataka niwe nayo ili polisi wasiniguse wala kunisogelea.
 
Al shabaab wenyewe wanazitafuta, wewe wataka kuazima jamnvi msibani!, nenda pale upanga ukanunue dukani.
 
Nenda ISILII kule Nairobi,ni mtaa wa wasomali wengi sana hapo hata ukitaka 130mm au 122mm howzer utapata.
 
Nimeamua kutafuta bunduki hiyo matata kwa ajili ya kujilinda tu, wala si kushambulia. Naomba nisomeke, siku ya Kibamba day nataka niwe nayo ili polisi wasiniguse wala kunisogelea.
Waulizie watu walio katika dini inayoongoza kwa kutoa waumini wanao jitoa mhanga na kuondoa amani kabisa duniani.
 
simple sana wewe tafuta gunia 5 za mahindi nenda nazo uvira kongo unarudi na za kukutosha kufungua amouri, kwani debe la mahindi bunduki moja., grunet wanabadilisha kwa sadolini ya mahindi karibu
 
Mimi naona huu ushauri unafaa na sisi tuwe na mabomu ya machozi ili tuweze kukabiliana na polisi siku hiyo
simple sana wewe tafuta gunia 5 za mahindi nenda nazo uvira kongo unarudi na za kukutosha kufungua amouri, kwani debe la mahindi bunduki moja., grunet wanabadilisha kwa sadolini ya mahindi karibu
 
maduka ya silaha bongo yanauza revolver, pistol, na riffle tu siyo AK 47. Hata mimi naitafuta hiyo AK 47!!

Nioneni mie zipo za kuzoa A-47! na AK-75. Na kwa wale wengine REVOLVER BURE. MASHARTI: Uje na cheti za MIREMBE kinachothibitisha ULISHAWAHI KUUGUA KICHAA!
 
Vp hii inakufaa??

a065e.jpg
 
Aisee 2sifanya masihara, 2zisake sana hizo mashine koz tz inanuka na ukyukaji wa haki za kibinadam!Zita2saidia sana wanyonge
 
Nimeamua kutafuta bunduki hiyo matata kwa ajili ya kujilinda tu, wala si kushambulia. Naomba nisomeke, siku ya Kibamba day nataka niwe nayo ili polisi wasiniguse wala kunisogelea.
Utaozea jela. Kuna msemo wa kihaya unasema; hata sungura akishiba hutamani kuonana na mbwa. Sikulaumu nadhani yaleyale ya sungura
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom