Nawapenda maadui zangu hawa wa muda mrefu JF..

Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
11,060
7,189
pamoja na ukweli kwamba ni maadui wangu wa muda mlefu,ila nawapenda tu baasi,maadui zangu wenyewe ni 1.Tropical 2.Rejao 3.ritz 4.Faiza foxy 5.mzee..nimewapanga kulingana na uzito wa wa kero zao kwangu,kama mnavoona mzee anashika mkia na Tropical namba moja.
 
Intellectual enemies

Hata Isack Newton na Albert Einstein walikuwa maadui kutokana na miakili yao.

pamoja na ukweli kwamba ni maadui wangu wa muda mlefu,ila nawapenda tu baasi,maadui zangu wenyewe ni 1.Tropical 2.Rejao 3.ritz 4.Faiza foxy 5.mzee..nimewapanga kulingana na uzito wa wa kero zao kwangu,kama mnavoona mzee anashika mkia na Tropical namba moja.
 
Intellectual enemiesHata Isack Newton na Albert Einstein walikuwa maadui kutokana na miakili yao.
Kongosho huishi kunivutia na unavyowajua hawa wanasayansi nguli ...the other time it was newton and Love ...Anyway...Adui apendwe ... na .. vema achukuliwe hatua stahili .. bila chuki, hasira, kinyongo na hisia hasi zozote ..maana kiukweli huo ndio UPENDO!!
 
Maadui wa aina hiuwa ni interesting, ni kweli akiwa hayupo unam-miss sana. Bila yanga, simba atajidaia wapi.

Kongosho huishi kunivutia na unavyowajua hawa wanasayansi nguli ...the other time it was newton and Love ...Anyway...Adui apendwe ... na .. vema achukuliwe hatua stahili .. bila chuki, hasira, kinyongo na hisia hasi zozote ..maana kiukweli huo ndio UPENDO!!
 
pamoja na ukweli kwamba ni maadui wangu wa muda mlefu,ila nawapenda tu baasi,maadui zangu wenyewe ni 1.Tropical 2.Rejao 3.ritz 4.Faiza foxy 5.mzee..nimewapanga kulingana na uzito wa wa kero zao kwangu,kama mnavoona mzee anashika mkia na Tropical namba moja.

mlefu = mrefu
 
wamemmwagia maji wakati alikuwa hana nia ya kuoga..

Kwanza huwa nacheka nikitaka nisitake kwa hiyo avatar yako, halafu nondo unazoshusha zinanivunja mbavu. Hujawahi kutumia ile kitu inaitwa majani?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom