mrembo Mayasa anautesa moyo wangu. naomba mnisaidie.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mrembo Mayasa anautesa moyo wangu. naomba mnisaidie..

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by dubu, Nov 23, 2011.

 1. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,071
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  Heshima yenu wakuu.
  Mimi nimetokea kumpenda mwana jf mwenzetu anayeitwa Mayasa. Nimejaribu kumu PM lakini hanijibu..wala hata salaam hajibu.nimemtumia namba ya simu anibeep imeshindikana. kusema kweli nilimpenda kabla hata sijajiunga jf kwa thread zake na comment.baada ya kujiunga nashangaa hata jf hatokelezei.
  Mwenye contact zake au uongozi wa jf naomba wanikutanishe na huyu mrembo.nampenda sana..sana.natamani awe mama watoto wangu. nakupenda mayasa..Mmwaaa...!!. over
   
 2. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Afadhali umefunguka mkuu.. kwa hisani ya Wamerakani!
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Weka uzi wake hata m1 tuone hzo comments ulizozizimikia
   
 4. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  HATARI! lakini SALAMA.
   
 5. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Ukome kumtongoza mke wangu. Amenionyesha PM zote ulizomtumia na nasema ushindwe na ushindwe.
   
 6. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,071
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  kweli mkuu??
  unantania bana. sasa kwanini hanijibu pm zangu?naomba umuulize kwanini hanijibu Pm zangu? inaonekana hakupendi. mbona hajaniambia kama ana mtu?. over
   
 7. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 661
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 80
  Mayasa
  Njoo huku ujibu hoja na maswali ya mwenzio.............kwanini unakatili penzi hili dhahiri la dubu?

  Dubu
  Pole sana..........ila usisahau ya wahenga "mvumilivu hula......................". All the best bro!

  EMT
  Unless you have put a ring on it.................................she still fair game:eyebrows:??
   
 8. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kwani moja ya Rules za JF ni kuwa ukitumiwa PM ni lazima uijibu? Kutokukuambia kuwa hana mtu ndio inaonekana hanipendi? BTW, angekuambiaje hana mtu wakati umesema hajibu PM zako?
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  unatafuta kushikishwa ukuta we endelea tu ..nakuangalia tu unavocheza na waifu wangu...
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Ukiona hivyo jua mayasa hana mpango na wewe,inabidi uzoee hali hiyo:biggrin:
   
 11. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #11
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Which means you can be fair game to me unless I have put a ring on it?
   
 12. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #12
  Nov 23, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  we jitoe ufahamu tu shauri yako...
   
 13. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #13
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,071
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  jamani naomba uache matani. uko serious?
  Mwenzio namuhitaji.umemuoa kabisa au bado unamdanganyia ufriend. usije ukamkosesha bahati ya kuolewa. kama haupo naye serious naomba umwachie uhuru wa kutafuta ampendae kuliko kumdanganya halafu ukamuacha solemba. over
   
 14. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kudadadeki walah.. hizi bahati wengine wanaziendea bagamoyo...
   
 15. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Naona umeanza kutengeneza theories kuwa namdanganya. Kama namdanganya, well endelea kum-PM. Ila sipendi lawama.
   
 16. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Mapenzi ni kikohozi kila mtu anakohoa!! Hahahahaaa kohoa baba ila angalia tu usibanje!
   
 17. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Halafu unieleze kimoja kimoja. Huyu Chezo anayedai wewe ni mawaifu wake anatoka wapi tena? Usikute mie kidumu eh?
   
 18. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #18
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,071
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  Hivi wewe ndo EMT au nakufananisha. kwa hiyo ana wanaume wawili? so nani ni nani? over
   
 19. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #19
  Nov 23, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  emt shauri yako
   
 20. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #20
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Dubu nikiachika shauri zako.. sijui utaweza nitunza? maana naona watu washafumaniana hapa..
   
Loading...