Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

apongezwa kwa kuwa milionea

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Lukansola, Nov 23, 2011.

 1. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,429
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Kuna jamaa mmoja alikutana na rafiki yake, rafiki akamwambia jamaa hongera bwana una bahati sana, jamaa akauliza kwa nini, rafiki akasema toka umeoa umekuwa milionea, jamaa akasema nipe pole bwana, rafiki akamshangaa akauliza kwa nini, jamaa akamjibu 'kabla ya kuoa nilikuwa bilionea'
   
 2. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 3,419
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Hivi wewe si uliacha pombe eeh! naona umeshaanza tena!
   
 3. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,429
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Toka lini pombe ikaachwa?
   
 4. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,150
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jasiri haaachi asili.
  OTIS
   
Loading...