CHADEMA walishakubali toka zamani kuwa....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA walishakubali toka zamani kuwa....!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Shagiguku, Nov 23, 2011.

 1. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 400
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  watanzania wenzangu napenda kuwafahamisha kuwa, jamaa wa chadema walisha kubali kuwa wao wataendelea kuwa wapili tu katika kila uchaguzi wa rais na wabunge hapa nchini,

  na ndiyo maana hata ukiangalia alama za mikono ya hivi vyama viwili utagundua kuwa CCM wao wana alama ya dole gumba :poa :A S 112::A S 112: :A S thumbs_up::A S thumbs_up: kumaaanisha kuwa wao daima wataendelea kuwa wa kwanza katika uchaguzi.

  na wale wa chadema wana alama ya vidole viwili vilivyoachana :peace:wakiaashilia na kuwaambia watanzania kuwa wao daima wataendelea kuwa washindi wa pili katika uchaguzi wa rais,

  na ndio maana hadi leo utaona CCM ni wa kwanza na CDM wanafuatia wakiwa ni wa pili.

  nawaomba na wengine mfanye uchunguzi wenu mtueleze mmegundua ni kuhusu hivi vyama viwili.....!!!!  :cheer2: :yield::yield: :wave::wave:
   
 2. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe kweli kilaza na umejawa nam magamba ya kobe mwili mzima
   
 3. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,953
  Likes Received: 1,279
  Trophy Points: 280
  vitu kama hivi vina jukwaa lake la ucheshi na siyo jukwaa serious. Pum,b. . .a fu
   
 4. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Du! Kwa reasoning ya namna hii CCm itaelendeleza ufisadi Tanzania kwa maana kila mara watajiona wanachofanya ni sahihi. Ni kama kuku anayetaga yai na kuanza kulidonoa ili alile!
   
 5. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Leo mpo wengi kweli...ndo resolution ya mkutano wa chama chenu jana sio? Auposho imepanda kiaina.
   
 6. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  na kubaliana na wewe ccm wa kwanza kwa lipi? kwa mtazamo wangu ni wa kwanza kwa ufisadi je wewe?
   
 7. M

  MWANAKASULU Senior Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ninaogopa kukuita zezeta coz huenda unazo hata za kukupeleka chooni.Hujui hata kusoma alama ya NYAKATI Hujui CcM kama ndicho chama pinzani 2015? OK nakubali CcM ni cha kwanza kwa Magamba na Ufisadi kwa asilimia 97 na cha pili ni CuFasilimia 3 Kulingana na ndoa yao.kwa muda huu CDM ni tishio kwa serikali au huoni kila tamko linalotolewa na CDM serikali inalifanyia kazi faster.eg KATIBA mpya ilikuwa ni sera ya CDM na mengine mengi CCM inadandia treni kwa mbele.hebu niambie MAGAMBA yenu yameshindikana kuloana mkayabandua? au mnaogopa yatabanduka na nyama?
   
 8. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Post picha yako mkuu,nione propotionality ya makalio na kichwa chako!
   
 9. W

  We can JF-Expert Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jamani, MBAVU SINA. REASONING YA NAMNA HII NAYO KALI. UTADHANI MTU ANATUMIA NANI HII.....
   
Loading...