Sherehe niliyohudhuria Jumapili hii

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
jamani nawaombeni sana watu ambao mnapenda kufanya sherehe bila ya kuwa na fedha muache tabia hiyo.
unakuta mtu hana hela ila anapenda tu kuwakusanya watu na kuwapotezea muda kwa mambo yasiyo na maana.

Jumapili hili kuna my friend wangu alinialika nyumbani kwake kuwa anafanya birthday,basi mzee nikajipinda kumnunulia zawadi ya nepi rafiki yangu huyo.

Basi baada ya watu kuanza kumiminika na nyimbo za hepi bathdei,tukawekewa na muziki mkubwa,tukacheza sana kumsapoti rafiki yetu,basi ulipofika muda wa maakuli nilipigwa na butwaa,baada ya kuona waandazi hao wakitunawisha kwa mafuta ya kula,mtu mzima nikauchuna nione nini kitatokea,huwezi kuamini ndugu msomaji TUKALETEWA MAFENESI.Nalog off
 
Usiwe msahaulifu wa kuacknowledge waasisi.

SOURCE: Mzee Yusuph, "...wanawishe mafuta, chakula chao mafenesi tayari.."
 
Basi mwenye shughuli atakuwa amekopi na kupasti kutoka kwa huyo mzee,huyo mzee Yusufu unayemzungumzia anatokea Rufiji? Nalog off
 
Kabisa! Mfalme ameimba hicho kipande kwenye wimbo wa 'My Valentine', album ya mwaka 2010 ft. Jahazi Modern Taarab...

hehe na wewe uko juu kwenye mambo ya mwambao?haya tupange tukutane mango garden au travetine.
 
Basi mwenye shughuli atakuwa amekopi na kupasti kutoka kwa huyo mzee,huyo mzee Yusufu unayemzungumzia anatokea Rufiji? Nalog off

Wewe Jumapili si ulisema uko bar gani sijui unacheki game ya Chel5-3a na Liverpool? Mzee Yusuph ninayemzungumzia ni yule kiongozi wa JMT, nikiwa na maana ya Jahazi Modern Taarab, zamani akiimbia Zanzibar Stars, pia ni kakake Bi. Khadija Yusuph, mwimbaji nguli wa kike wa taarab, pia mumewe Leila Rashid na Jokha Kassim, wote waimbaji wa taarab.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom