Nataka kuwa PREMIUM Member..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kuwa PREMIUM Member.....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by M'Jr, Nov 22, 2011.

 1. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Habari ya siku wapendwam

  Nimewamiss sana maana sikuwa kwa jukwaa kwa muda kidogo but now nimerudi. Leo natangaza rasmi kwamba nataka kuwa JF Premium Member kwasababu nimekuwa naanzisha threads na bahati mbaya baadhi ya hizo zimekuwa zinapelekwa kwenye majukwaa ambayo sina access nayo.

  Haya rasmi natangaza kutaka kuwa Premium member ili niwe na access ya kotekote.......:spy:
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Unatangaza bila kuchangia? Ni sawa na kutaka mke bila mahari.
   
 3. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Mwita unfortunately huwezi kuwa Premium bila kuchangia labda umesahu kwamba kila kitu kinaanza na nia...............
   
 4. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mtumie Invisible mshiko huo soon unakua premium member!
   
 5. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  at least we umesema la maana kaka shukrani sana
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  wasiliana na invisible.......

  huwa unatumiss mara kwa mara eehh......

  mara nyingi unatuambiaga hivyo......
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  waziri mkuu wa uingereza anaitwa nani!!!
  watanzania mnapenda vya dezo eehhh
   
 8. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  halafu wewe hizi ga ga ga umezitoa wapi ?
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  unataka kuniambia kuwa hakunaga......   
 10. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  This is my lounge siku hizi ninapopata habari na ukweli halisi, nawamiss nyie sana coz ndio wenzangu ndani ya lounge
   
 11. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  changia Jf.mkono mtupu haulambwi. Nalog off
   
 12. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #12
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hao woooteeee wanaokuambia changia ina maana wao hawajachangia maana ni"JF Senior Expert Members" a.k.a JSEM
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mkuu wasiliana na Invisible tuu na uchangie sio bure bure :lol:
   
 14. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #14
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Let me put this clear maana naona sasa watu wanaibuka na ya kwao hivi,

  Nimesema sasa nataka kuwa JF Premium Member na wakati nasema hivyo nilijua kabisa kwamba kuna kitu fulani natakiwa kufanya kufikia status hiyo. Nimesema hapa nikatoa na sababu why nataka kuwa Premium member sasa watu wamekazana kunambia nichangie nichangie kwani nani kasema ukisema tu hapa unataka kuwa premium member then unakuwa?

  Arrrgh!

  Thnx kwa wale walionambia niwasiliane na INVISIBLE maana wao wamenionyesha njia ya nini cha kufanya sio wale waliokalia kunambia nichangie nichangie wakati wao hawajachangia chochote
   
 15. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #15
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Karibu sana, mimi mwenyewe niko njiani kwa hiyo tutakuwa wengi siyo wewe tu.
   
 16. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #16
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Natumaini kujiunga siyo siri kama ni siri mtujulishe.
  Mi nilifikili mtu anapotaka kujiunga mnaojua au ambao mmejiunga toeni maelekezo kuliko tu kusema wasiliana na furani.?
   
 17. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #17
  Nov 22, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Invisible nakuomba uendelee kuwa muungwana hivyo hivyo! Usije kumpa kijana anayetaka kuwa Premium masharti makali kama yale tuliyopewa na Cameroon!
   
 18. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #18
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Acha kuwa mkali basi na wewe!!

  Kifupi ni kwamba ukitaka kuwa Premium Member ni "Uchangie" vinginevyo hakuna njia ya mkato ya kufika huko.

  Siku njema punguza ukali basi
   
 19. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #19
  Nov 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  najua hata mimi sijachanga mwezi huu
  ngoja nijipange pange nione kama mkono
  utakuwa na kitu.
   
 20. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #20
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sh. Ngapi? 28-58 Over
   
Loading...