Umemtia mimba mwanafunzi

Umemtia mimba mwanafunzi

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,974
Reaction score
13,430
Habari za mchana wanajamvi? Nina swali kidogo la uzushi.
Ni hivi umemtia mimba mwanafunzi na kosa la kumtia mimba mwanafunzi nchini Tanzania ni kwenda jela miaka 30,baba wa mwanafunzi ameshashtaki na unahitajika mahakamani kwenda kujibu mashtaka.
Kwa kuogopa kwenda jela mzee mzima unakwenda kwa mganga ili akupe dawa ya kutokudi nda.
Siku ya hukumu inafika unapangua kesi kwa kuikataa mimba sio yako kwasababu hudi ndi.
Hakimu anaamuru kesi ihamie chooni kwa kwenda kuhakikisha kwamba kweli hudi ndi,wanaletwa wanawake wenye migongo ya kichina wakiwa u chi wanauchezea uume wako lakini wapi unakataa kusimama.

Hakimu unakuacha huru kwa kuwa hudi ndi kwahiyo huwezi kumpa mwanamke mimba.

Mzee unatoka mahakamani kisutu kwa shangwe,unaamua kwenda kwa mganga ukamshukuru kwa kukusaidia katika kesi yako na pia akakupe dawa ya kuurudisha uume wako kama zamani,kabla hujafika kwa mganga kwa mbaaaaali unaliona turubai nyumbani kwake,unakwenda mpaka unafika nyumbani kwa mganga na kuuliza tatizo nini mbona kuna turubai hapo kwa mganga? unaambiwa ya kuwa MGANGA AMEFARIKI.

JE? INGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE.
Nalog off
 
Hadthi nzuri lakini imerudi mwaka 1947. Kwa nini uletewe wanawake wenye migongo na visitumike vipimo vya DNA kujua kama wewe ndie baba?
Lakini iwe ndio hivyo kwa sababu ama uwezo mdogo kwa hizi teknolojia au imani zetu zimetugandisha hapo. Nahisi hiyo ya mganga kufariki ni adhabu ambayo unastahiki kwa kukosa maadili. Ulitaka ule halafu usepe majukumu? Mungu kakuwahi!
 
umeona eh! yaani unamlisha mtu kwa kutegemea ya kuwa hatoshiba?Nalog off
 
Ukikuta mganga kafa rudi kwa hakimu ukamuombe akupige mvua 30 maana utakuwa huna faida tena kwa jamii.
 
Hapo ni uoga tu kwani wewe ni wa kwanza kutia mimba Mwanafunzi bana??? Halafu utapimwaje urijali kwa kuwekewa mademu wakiwa u chi?? kisaikolojia jogoo halitawika...Huo ulikua woga tu.....Ni dhana ya USONGOMBINGO huyo denti mwenyewe kapenda utamu....Halafu kuamini ushirikina kwa kila jambo si safi Mkuu
 
uoga wako ndio umasikini wako mkuu,jamaa yupo katika wakati mgumu sasa hivi.Nalog off
 
Hadthi nzuri lakini imerudi mwaka 1947. Kwa nini uletewe wanawake wenye migongo na visitumike vipimo vya DNA kujua kama wewe ndie baba?
Lakini iwe ndio hivyo kwa sababu ama uwezo mdogo kwa hizi teknolojia au imani zetu zimetugandisha hapo. Nahisi hiyo ya mganga kufariki ni adhabu ambayo unastahiki kwa kukosa maadili. Ulitaka ule halafu usepe majukumu? Mungu kakuwahi!

You said it all, good objection.
 
Back
Top Bottom