Wanawake wa kigoma balaa!

mfocbsjut

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
473
246
Habari wana jf.
Rafiki yangu mmoja amenisimulia juu ya bro wake aliyeoa mke kutoka kigoma. Sasa jamaa alikuwa anatoka nje ya ndoa ila kila akikutana na hawara yake, jogooi hasimami ila akirudi kwa mkewe mambo shwari, amehangaika sana mpaka kwa waganga ndipo akaja kuambiwa kuwa wanawake wengi wa kigoma kuna dawa wanatumia kwamba ukienda kwa mwanamke mwingine huwezi fanya lolote ila ukiwa kwa mkeo mambo yanakuwa safii! Wadau mnalizungumziaje hili, kuna ukweli wowote?
 
Duh hiyo ni advantage kwa wanaume vijogoo! Rate ya kusambaa kwa HIV ingeweza kupungua.
 
Naweza kukubaliana na wewe, kuna rafiki yangu mmoja yeye aliachana na mkewe mmoja mwenye mchanganyiko wa kiarabu na kimanyema, baada ya kuachana naye akaamua kumuoa mke mwingine. Basi baada tu ya kuingia ndani jamaa akawa kila akitaka kufanya tendo la ndoa jogoo hasimami hata kidogo, lakini siku mwanamke akiwa katika siku zake, jogoo linasimama haina mfano na jamaa anakuwa na hamu ya kufa mtu, lakini siku zikiisha tu jamaa anarudia na hali ile ile. Aliteseka sana huyu rafiki yangu
 
Du!Aisee kwa kweli mimi sijawahi kusikia.Ila kama ni kweli basi ni hatari sana maana ikitokea bahati mbaya mke akatangulia mbele ya haki mwanaume lazima atie akili!
 
Mbona hizo chamtoto mimi nilikuwa nakwenda na baba angu mdogo minadani n dingi ni mkali noma hapitwi sikumoja tupo zehem flani inaitwa ndala ipo Tabora wenyeji wa tunapajua kaopoa toto la kinyamwezi ile anataka kuduu naee akajikuta hana mpini mara anaona panya anapita kweny dari na mpini anakimbia nae alipiga kelele kama chizi

hiki ni kisa cha kweli
 
kama kweli dawa hiyo ipo SAFI SANA. Kinachotakiwa ni waTZ kuona fursa iliyopo na kuiweka sokoni 'kiukweli'. Itasaidia kuimarisha ndoa, kupunguza watoto wa mitaani, Ukimwi, etc. mwenye facts tuwasiliane TUTOKE.
 
je ikitokea serikali wakamtilia sumu huyo mkeo na kumpeleka India kwa matibabu itakuwaje? na uombe asiporudi basi itabidi watu wakuCameron tu kwasababu unakuwa huna shughuli tena hapa mjini.ɟɟo ƃoןɐu
 
Kuna mmoja anaitwa mama ronaldo ni balaa mdada hatari sana kitu tigo k kwa mkeo we mulize mtu yeyote wa kigoma kuna mkuu wa wilaya alimwacha mke.
 
kama kweli dawa hiyo ipo SAFI SANA. Kinachotakiwa ni waTZ kuona fursa iliyopo na kuiweka sokoni 'kiukweli'. Itasaidia kuimarisha ndoa, kupunguza watoto wa mitaani, Ukimwi, etc. mwenye facts tuwasiliane TUTOKE.
 
Back
Top Bottom