Kijana wa kinya2ru aliyekua akichunga ngo'mbe za boma yao, cku 1 ghafla akiwa machungani akavamiwa na majangiri wakamvua nguo zote na kumfunga kamba mikono miguu kwny mti, ili asiweze kimbia kwao...
Ilikua ni cku ya haruc Mangi Tarimo anaoa, mama wa bi haruc akifahamu kua bintie alikua ni mwembamba kimbaombao wakupigiwa mfano, hivyo alihakikisha cku zote za kbl ya haruc Mangi afikapo ukweni...
Jamani wapendwa nawaombeni mwache tabia ya kuwaingiza mjini,mtapotea cku 1..nasema hv kwa sababu leo nilikuwa wizara ya nishati na madini,kulipa bili yangu,sasa wakati nipo kwenye mstari,akaingia...
Kwa wale wanawake wanao plan ku tengenzwa..
Please be careful with cheap doctors. saa nyingine
ni bora kulipa fedha nyingi na kupata kitu kenye
uhakika.. na fanyeni research za hali ya juu...
Hii imetokea jana Njia panda ya Kwenda Mbweni.
Huyu bazazi alifika pale kwa nia ya kuchukua bodaboda imupeleke JKT Mbweni.
Safari ikaanza, jamaa akawa anamsogelea sana dreva mpaka zero...
Nikiwa naenda kazini kwa kutumia daladala, mara akapanda askari polisi, gari ilikuwa na nafasi kadhaa za kukaa, na miongoni mwa nafasi hizo ni nafasi iliyokuwepo jirani na nilipokaa.
Baada ya...
NILIJIUNGA HAPA JF NI MPINGA UFISADI NA KUKUBALIANA NA MAWAZO YA WENGI!!!!!!!
LAKINI JAMBO AMBALO LIMENIKERA KUHUSU FORUM HII NI KUWA JAMBO LOLOTE AMBALO MUISLAMU MMJA AU...
Utafanya nini ukikuta kwenye simu yako meseji inayosema:
"Umepokea tshs. 2,000,000,000/= kutoka kwa David Cameroon, 09/11/2011, 14:37:11. Bado hajasema ni za nini ila kasema we jisikie huru kuzitumia"
najua watakasirika wengi watanuna wengi watanitukana wengi lakini ukweli utabaki kuwa ukweli 1:UDINI hii ya udini iko kwa kila m2 hata mbuzi analijua .naye mh zito alishawahi kusema kusema...
Wanajamii.
Kuna vijana/wanaume wameamua kujiajiri katika mambo ya urembo. Wako katika saluni na wengine wanapita mitaani.
Utamukuta dada/mama kavaa sketi/gauni fupi kakaa kwenye kiti huku...
Watanzania wanasababu nyingi za kuichukia CCM na hizi ndio sababu ya msingi kwanini CCM haikubaliki kwa watanzania hasa kada ya vijana...
Ni chama kisichoumia na matatizo ya watanzania hasa...
Wana jf wote napenda kuwakaribisha kesho kwenye sherehe ya kuzaliwa kwangu, nitakuwa natimiza miaka 32. Sherehe itakuwa Sae karibu na tanesco mbeya. Karibuni sana wana jf
GOODMORNING BUDDY!
AM JUST SAYING HELLO TO YOU GUYS.
THIS IS NOT A STORY BUT A TRUE INCIDENT THAT HAPPENED IN DAR ES SALAAM! .
' CHAGGA MIND' - A CHAGGA man walks into a Barclays bank in...
Kila wakati jamaa akisafiri,mkewe alikua na tabia ya kumuekea condom kwa bag lake.jamaa akawa anawaza kwani vp tena.mke wangu anajua dili zangu ama niaje? Ikabidi siku moja amuulize mkewe kwanini...
Universal law:
love can neither be created nor be destroyed; only it can transfer from
one girlfriend to another girlfriend with some loss of money.
first law:
a boy in love with a girl...
Napenda kuwasalimu wana jf ASALAAM ALEYKUM na wengine BWANA YESU APEWE SIFA. Kwa upande wangu wimbo ambao kila ninapousikia unaniharibia siku ni wimbo wa Bony Mwaitege unaokwenda kwa jina "njoo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.