Kila wakati jamaa akisafiri,mkewe alikua na tabia ya kumuekea condom kwa bag lake.jamaa akawa anawaza kwani vp tena.mke wangu anajua dili zangu ama niaje? Ikabidi siku moja amuulize mkewe kwanini...
Universal law:
love can neither be created nor be destroyed; only it can transfer from
one girlfriend to another girlfriend with some loss of money.
first law:
a boy in love with a girl...
Napenda kuwasalimu wana jf ASALAAM ALEYKUM na wengine BWANA YESU APEWE SIFA. Kwa upande wangu wimbo ambao kila ninapousikia unaniharibia siku ni wimbo wa Bony Mwaitege unaokwenda kwa jina "njoo...
Natoa wito kwa serikali isipoteze muda wake muhimu kuwawajibishe hawa watu.
Ni vema ikawaleta hapa Manzese watuachie nusu saa tuwawajibishe sisi.
Itakua fundisho kwa wizara na Taasisi nyingine...
Nadhani mlikuwa mnasikitika sana baada ya kunikosa jamvini juzi na jana. Nilishikwa na Malaria kali iliyonilazimisha kulazwa kwa masaa 48 na kutundikiwa dripu 3 za kwinini. Namshukuru Mungu...
Habari wana Jf!Ni jumapili nyingine ambayo wote kwa namna moja au nyingine tumepumuzika nyumbani ijapokuwa sio wote waliopumzika majumbani!Leo nataka tushee yale tulioyapata kwenye nyumba ya...
Zamani kulikuwepo na tangazo la sabuni ya Revola redioni. Hili tangazo lilikuwa linatuacha hoi mimi na binamu zangu kwa sababu lilikuwa linasikika au tulikuwa tunalifananisha na ile milio/ miguno...
Hebu niambie ungekuwa ni wewe ungefanyaje? Ni takribani mwaka sasa hali yako kiuchumi sio nzuri kifupi umefulia vibaya,siku moja anakutembelea rafiki yako mkubwa mlioshibana,usiku akiwa amelala...
Hivi kwa nini hawa viongozi wasitumie helikopta kwa jiji la Dar es salaam kuepusha usumbufu wa foleni mfano kutoka airport hadi ikulu watumie halikopta badala ya barabara ili wananchi wengine...
John katika kipindi cha likizo alikuwa akikutana na jane tuition, kama wanafunzi walivyo John akawa anasomesha mtoto lakini jane akawa anamzungusha. Siku ya siku Jane akamkubalia John lakini mambo...
Daah..! Amini usiamini hii imetokea jana katika kipindi cha XXL cloudz fm,watangazaji walikuwa wanaulizana "LIVE ON AIR" kwamba nani aliyejamba humo studio...kweli hii ni Redio ya kipekee
kama hatajuaoana kwanini unifuatilie kiasi hicho?kila saa huniamini mpaka mi mwenyewe najiona kama nalindwa.
kwani huwezi kuniamini bila kunifuatilia?nikikuambia nakupenda kwanii usiniamini?hivi...
kuna watu wanaitana masharobalo bila kuzingatia kanuni na masharti.
so leo nmeona niwafumbue macho ili jamii isiwaache nyuma.
:mvulana ni sharobalo
:msichana ni sharomalo
je ushawahi...
Mimi nakumbuka simu yangu ya kwanza ilikuwa Nokia ndefuuu nye mbamba nayenyewe nilipewa na Boss wangu eti yeye akanunua Nokia Ringo mimi akaniachia mche wa sabuni ukubwa upana sawa ila ulefu...
Ulianza lini kupenda? Mi la tano nilimwandikia barua msichana nikamwambia ntampenda mpaka ziwa victoria likauke. Akanipeleka kwa ticha (akampa na hiyo barua). Kila mwalimu aliyekuwa anasoma hiyo...
(KIJANA);Baba,nimepata mchumba hapo mtaa wa pili,anaitwa Sandra! (BABA);Ooops,samahani kijana wangu,ila usimwambie mama yako,sandra ni dada yako,si unajua mambo ya ujana mwanangu! (KIJANA);{siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.