Jamaa alivuta ngororo yake "wengine mnaita boom" na sijui vijana wa siku hizi mnaitaje?
Baada ya kukamata mshiko akazama baa moja huko mwenge "Ingongwe" na "migombani". Akapiga ulabu wa kutosha...
1. Principal to student..." I
saw u
yesterday rotating near
girls hostel
pulling cigarette... ? " 2. Class teacher once said :"
pick up the
... paper and fall in the
dustbin!!!"
3. once...
IMAGINE HAPA NI BAADA
YA KUMALIZA TUITION YA
KISWAHILI SASA
ANAJISOMEA METHALI..... (1) Mfa maji? tampa life
jacket.,
(2) Mwenda pole?
tachelewa fika.
(3)
Usipoziba ufa ? mizi taona...
"Katika basi Mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto,Mtoto akakataa,Mama akamwambia"nyonya,kama hutaki nampa anko anyonye!"anko ni kaka mmoja abiria aliyeketi na huyo Mama.Mtoto akanyonya kidogo...
Kati ya mambo yanayotukera wenyeji wa jiji hili la Dar,ni foleni ya magari,,yani ni KERO kubwa sana,..nikiwa mmoja ya waathirika wa hili janga naishauri serikali kufanya yafuatayo ili kupunguza...
I heard this joke a while back, but its still funny!
Okay, there was a woman driving down the freeway, goin quite a bit faster than the speed limit, when shes pulled over my a policeman.
The...
Jamaa anamuuliza binti wa kimakonde, ati, kwa nini wamakonde hawawezi kusema Mtu na badala yake wanasema Ntu?
Binti wa kichinga ( iiiiiiiiih siiyo woote. Unajua kusema ntu, inategemea ntu na nnntu!)
Naombeni dondoo za jinsi ya kuchukua tahadhari au hatua za kuchukua
pale unapojikuta eneo ambalo risasi zinapigwa kwa karibu na ulipo mfano nyumbani au eneo la kazi
Silengi eneo lenye vita...
habari ndugu,
kuna stori nimesikia eti kwamba wasabato hawali nyama,na wanatengeneza nyama zao artificial za unga wa ngano,na flavour iko kama ya nyama,fibre kama nyama,almost kila kitu,je hiii ni...
Wakati huo nilikuwa natamani kuwa na G. Friend. Ishu ya kutongoza ilikuwa hivi:
Dada mambo? (Poa).
Siku hizi mnona hatuonani? (Nipo tu)
Ndo unaenda nyumbani? (Hapana, naenda kumwona rafiki...
Queenkami mim sio mgeni hapa Jamii Forums maana nikiwa kama guest haikosi siku bila ya mim kufika hapa na kusoma mambo mbalimbali yanayojiri hapa.
Leo imebidi nijiunge ili niweze kukueleza...
Wewe ni kijana mwenye kazi nzuri sana.Unaishi na Mkeo ambapo mungu amewajaalia kupata mtt mmoja wa kike.Siku za hivi karibuni mlitembelewa na jamaa mmoja ambaye mkeo alimtambulisha kwako kama kaka...
dah nilikuwa nimesahau jamani,leo ni birthday ya mama yangu mpendwa
namuombea kwa mungu amjalie kila lililo la kheri katika maisha haya
i wish mama upone uwe kama zamani
nakumbuka kipindi naenda...
Duh! Jamani hii hali ngumu hata pesa mfukoni haikai ada za shule! Nauli za wanaowahi mashuleni, wakunikopesha hakuna! Natamani hata kujinyonga! Aaaagh!
Hivi kwa nini ndugu zangu waislamu huwa wanachinja maiti kabla ya kuzika? Nimeuliza ninao wafahamu wakasema kuwa wanakata koo ili kama maiti alichukuliwa msukule wanamuua ili wakose wote yaani...
1. Bedball(mazoezi ya kitandani).
2. Football.
3. Handball.
4. Valleyball.
5. Basketball.
Kwa upande wangu navutiwa na Football hasa ya nchi zilizoendelea. Karibu sana kueleza ni mchezo gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.