Kongosho kijiwe chetu cha ghahawa kimeishia wapi?

Kongosho kijiwe chetu cha ghahawa kimeishia wapi?

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,909
Jamani Kongosho kijiwe chetu cha ghahawa kimeishia wapi na je ule mpambano wetu mbona mshindi hakupatikana kulikoni jamani?
 
Kijiwe cha kahawa migambo wamekivunja labda mtafute kingine
 
Kongosho kaenda kuleta kashata ya kushushia gahawa. Msubirini atarudi
 
Jamani Kongosho kijiwe chetu cha ghahawa kimeishia wapi na je ule mpambano wetu mbona mshindi hakupatikana kulikoni jamani?

Naona anakabana na Kabakabana kwenye thread ile aliyizimikiwa!!!! Akirudi huko atakuwa na furaha kama mashabiki wa Man Utd leo.
 
Naona anakabana na Kabakabana kwenye thread ile aliyizimikiwa!!!! Akirudi huko atakuwa na furaha kama mashabiki wa Man Utd leo.

Huyu mtoto naye akishazimikiwa inakuwa balaa tupu
 
Ngoja nikavae jez ya man u ndo nije kijiweni... Mwambie kongosho alete kashata za kutosha nna furaha leo...
 
Back
Top Bottom