Ujumbe wa Leo!

Ujumbe wa Leo!

Huo ujumbe wako ni batili, wako watu kibao hawana uzazi na wanafunga ndoa,wanakwenda kwenye vituo vya kulea watoto yatima na kumchukua mtoto huko wanamlea na maisha yanaendelea.Kuna mifano kibao.
 
Nilidhani nitakutana na ujumbe wa maana kumbe nakutana na ujumbe wa kibaguzi kama huu
 
Hata kama huna kizazi kwani jongoo hapandi mtungi?
 
Vitu vingine jamani. Kwahiyo kama wewe "umejaliwa" hicho kizazi unaona kwamba wewe ni bora kuliko ambao hawakujaliwa?
 
Vitu vingine jamani. Kwahiyo kama wewe "umejaliwa" hicho kizazi unaona kwamba wewe ni bora kuliko ambao hawakujaliwa?

Mimi nitajuaje kama nina kizazi au sina, si mpaka nioe?, nitamjaribisha mtu kwanza ndio nioe?
Wrong massage!
 
Kizazi ni nini bana watoto wanapatikana tu hata mj alitengeneza watoto na wapo wanaendelea kukua tu.
 
Ahhghh, huyu mwehu kaniharibia siku yangu, weekend yangu ilikuwa inaisha vizuri sasa huyu cameroon kaleta ubazaazi humu, sasa nitajuaje kama nina kizazi kabla ya kufunga ndoa?
 
Kizazi ni nini bana watoto wanapatikana tu hata mj alitengeneza watoto na wapo wanaendelea kukua tu.

si ndo hapo sasa! Tatizo watu tume crame njia ile ile moja ya kutengeneza watoto...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom