Nilichokigundua nilipokuwa kifungoni

Nilichokigundua nilipokuwa kifungoni

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,984
Nimekuwa kwenye kifungo cha mda wa mwezi mzima hapa JF baada ya kupigwa Bann la mwezi mmoja tangia Dec 19, 2011 – Jan 19, 2012.

Kama kawaida yangu sijakaa kubweteka bali nimekuwa nikifanya research mbalimbali na kwa mara hii niichunguza JF yenyewe. Na haya ni baadhi ya matokeo.


  1. JF hasa jukwaa la Chitchat ina watu wanaojiita wasichana wengi hali ambayo huwafanya wachangia maada wengi kuacha mada na kuanza maongezi binafsi na Pm hasa mabazaazi
  2. Wanajamvi wengi ni wanafunzi wa vyuo vikuu
  3. JF ina member wengi mkoa wa Arusha ukifuatiwa na DSM
  4. Maralia Sugu ni Mwanaume na sio motto wa kike kama wengi mnavyodhani
  5. Nimegundua ni wapi zilipo ofisi za JF, nani mmiliki wake na nana na nani wanaifadhiri JF ( Tafadhali usiniulize)
  6. Excellent, AshaDii na Paw ni baadhi ya Moderator wa JF
  7. JF ndio mtandao wa kijamii wenye wanachama wengi na unaopenwa sana kuliko mitandao yote ya kijamii Tz na abroad.
  8. ID nyingi au avator zinazoashiria member fulani kuwa mtoto wa kike nyingi ni uongo tu hivyo kuchat nao ni kupoteza muda bure.
  9. .....................
  10. ………………Nitaendelea kuorodhesha hapa na kama kuna lolote unataka kulijua khs JF au unalijua na unapenda wenzako wafahamu plz weka hapa. Sihitaji PM.
 
Excellent, AshaDii
wewe sio kilaza kweli? na ukiitwa kenge utasababisha tupigwe ban? mpaka sasa hivi huwajui moderetor wa JF .mbona wapo na invisible kuna thread aliwataja wote na isitoshe wameandika kwenye profile zao
 
Tutajie na namba tisa.halafu mwenzio mgeni kwenye JF nataka kujua ulipigwa BAN kwa kosa gani?
 
Hehehe ATI chit chat imejaa mabazazi ... Hehe wakusoma bana
 
kumbe ndio unagundua kua Paw ni Mod? hahahaha
we ulipigwa ban na nani?
 
kumbe ndio unagundua kua Paw ni Mod? hahahaha
we ulipigwa ban na nani?

Labda ali-press wrong button kwenye kompyta yake akajikuta anajipiga ban mwenyewe.
 
We ni he unatumia Id na avatar ya she.
Hunaga swaga za kike kabisa

Namjua huyu ni ke. Mwanamke wa shoka huyu. Kama umezoea visistadoo, sidhani kama utamweza. Nikuunganishie?
 
afu wewe mshari...
Ushawahi kutoa mimba nini?
Halfu wewe una pumba sana.nilishawahi kukuuliza kama kweli wewe ni mwanachuo wa UD tena kiongozi...au ulikuwa unatufunga kamba tu???????????
Haiwezekani uwe na mawazo mgando kiasi hiki
 
Back
Top Bottom