Utaipata kwa laki moja tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utaipata kwa laki moja tu!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by slym, Jan 17, 2012.

 1. s

  slym Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea John, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata. Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini ya meza, Fred alipoinama kuichukua akaona nyeti za Lisa ambae hakuwa amevaa chupi. Fred akahamanika kwa aibu, japo John hakukugundua.

  Baadae kidogo John alipokwenda jikoni kuchukua vinywaji, Lisa akamuuliza Fred: "Umekipenda ulichokiona?"
  Fred: "Ndiyo".
  Lisa: Utakipata kwa laki moja, ila iwe ijumaa mchana maana John huenda site visits kwa wateja wake kila ijumaa.

  Ijumaa ikafika, Fred akaja kwa John na laki na mchezo ukachezwa. John aliporudi jioni akamuuliza mkewe: "Fred alikuja?"

  Lisa akawaza:'Inawezekana alimuona akija au kaambiwa', akajibu: "Ndiyo, alipita hapa mara moja". John: "Safi, alikuachia laki moja?"  Lisa akawaza: 'Huyu atakuwa anajua'. Akamjibu mumewe kwa upole: "Ndiyo, kaileta".

  John: "Fred ni mwaminifu sana, alikuja asubuhi ofisini akanikopa laki moja na akasema atapita nyumbani akuachie mchana".
   
 2. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Mweee! :shetani:
   
 3. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  umekosea njia mkuu ,ipeleke mahali pake...hlf kule inapostahili kuwepo itakuwa ni marudio haya.
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  laki si pesa
   
 5. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahah hahah, hiyo kali... Huyo mwanamke aliliwa kwa 100,000/0. Hiyo noma!!
   
 6. M

  MUMY A JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  maskini wee..uroda katoa na laki kakosa....
   
 7. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mbona anaishusha thamani yake laki tuu?
   
 8. N

  Ntila91 Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Laki mbona kubwa wapo wanao shusha thamani yao bule,mwisho wacku aibu.
   
 9. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  lakini mzigo umeliwa
   
 10. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  :alien::lol::lol:....Hatari
  OTIS
   
 11. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,806
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Hahahah.....mkopo bla riba, nafaida juu. Safi sana hiyo!
   
 12. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kwani bei halali (actual price) hua ni sh ngapi ? Inayotambuliwa na EWURA ?
   
 13. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ilishatokea kule mtaani kwetu siku nyiiiingi...!mtaa wa Jukwaa la Jokes,nilishuhudia kabsa...mweeee...
   
 14. driller

  driller JF-Expert Member

  #14
  Jan 22, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  duh kaliwa kwa pesa ya baba watoto aseee aiiiyeeeesiiiiiangaaaidaiiiia aaahakkakaa
   
 15. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #15
  Jan 22, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,920
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Marudio kwako we.....shit!!
  Bado hujaelewa jf rules..mang'a....
   
 16. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #16
  Jan 22, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,920
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Ha haaaaa haaaaaa...uwiiiiii
  Umenichekesha saaaaaaaana mkali..
   
 17. b

  bigambo Senior Member

  #17
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  khaaaaa, kweli ujanja kupata, na si kuwahi.....
  jamaa noma
   
Loading...