Daktari na mgonjwa

Daktari na mgonjwa

Ndokeji

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
698
Reaction score
478
Kuna jamaa alikuwa anaumwa akaenda hospital alipofika hospital,akaenda hadi kwa Daktari .Daktari akamukaribisha aingie ndani jamaa akaingia maongezi yalikuwa kama ifuatavyo Daktari: haujambo? Mgonjwa : hapana! Daktari: unajisikiaje? mgonjwa: kivipi? Daktari: unaumwa? mgonjwa: naumwa na ndiyo maana niko hapa Daktari : unaumwa nini? Mgonjwa : najisikia hamu na hasira nyingi za kupiga mtu kila wakati hata wewe hapa natamani nikupige makwenzi muda huu Daktari : pumbafu toka toka humu nenda nje!
 
Hahahahahaa;baada ya hapo drlazima alikula makwenzi ya kutosha!!!
 
Back
Top Bottom