Sijui hii imekuwa culture kwa baadhi ya watu au vipi
utasikia ahhhh january bana ngumu sana
wengine watakwambia shauri ya ada za watoto
wengine watakwambia sijui hili na hli
yaani mtu moja mmoja...
A Newly Wed Couple are out at a bar having a drink on their honeymoon.
The wife offers to make him a drink and asks the bartender to give
A salt shaker, A shot of Baileys
And
A shot of lime juice...
Lee Redmond
Lee Redmond, a woman from Utah who has not cut her nails since 1979, had grown and carefully manicured them to reach a total length of 8.65 m (28 ft 4.5 in), and was listed in the...
Mateja wawili walipelekwa mahakamani kwa makosa ya kubwia unga.Hakimu akawaambia;nitawasamehe kwa sharti moja,nendeni mitaani mkawaelimishe mateja wenzenu waache kutumia madawa ya kulevya.Baada ya...
http://41.59.13.185:88/broadwave.asx?src=1&rate=0
tumia link hii (hapo juu) kusikiliza maubiri ya mwalimu Christopher Mwakasege live, kila siku kuanzia saa 4:30 jioni hadi saa moja usiku...
Kwa kweli dada alikuwa anachangamsha sana hili jukwaa. Anajua kufrustrate, kutibua akili za watu. Yaani ni pasua kichwa. Tangu alipoondoka jukwaa hili limepoa na huenda likafa kama kilivyokufa...
Mambo vipi Wanajamii Forum???Naomba musome hapa kwa makini kisha tujadili katika hili.Juzi nilikuwa nasoma ripoti ya UNDP ya mwaka 2011 kuhusu hali ya maendeleo katika nchi 187 wanachama wa...
......kama tukitenda dhambi tungekuwa tunapata adhabu hapo hapo, kwa mfano ile unamaliza kuwaza uovu wako tu, unastukia unanyukwa makofi, makonzi na mitama mfululizo huku akupigae humuoni...
Najua umenisahau. Naitwa Andekelile Lupakisyo Ambindwile Mwambalakata mtoto wa Afwelile Ambwene Mwakisujeje Mwakasokela anko yake na Asangalwisye Mwalunyasyo rafiki wa Bakangana Bukenja Bukomile...
kulitoke tangazo moja Ukiwa na watoto kumi utapata zawadi ya nyumba na gari
MKE: sasa mumewangu sisi tuna watoto nane itakuwaje
MUME: mkewangu nisamehe nna watoto wawili nje ya ndoa ngoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.