Dereva Tax & Mwanamke

jrmlaurence

Member
Dec 2, 2010
80
57
Mwanamke aliingia kwnye tax akiwa hana nguo,kma alivyozaliwa!Dereva akawa anamshangaa,mwanamke akamuuliza hujawahi kuona mtu akiwa uchi au! Dereva akajibu;ninachoshangaa c uchi wako,najiuliza pesa ya kunilipa utakuwa umeiweka wapi?
 
Inatisha!! kuvua nguo kuna utaratibu wake, sio katika hili, lazima ukimbie au kushangaa!!
 
pesa mbele maesabu baadae safi sana kaka. wewe ndio unajua umuhimu wa kazi yako.
 
Ingekuwa real bac kauli ya TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA ingeshinda!!
 
Back
Top Bottom