Michelle, Mwali, First Lady

Golden Mpoleeee

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
572
206
Golden Mpoleeee katokea kuwapenda.
Golden Mpoleeee atafanyia kazi ushauri wenu.
Golden Mpoleeee watu tu hawamuelewi.
Golden Mpoleeee ni mpole mpaka achokozwe.
Golden Mpoleee hataki kuwaudhi kabisa nyie dada zang.
Golden Mpoleeee anaenda kulala sasa ili asiharib.
Golden Mpoleeee loves you and love all who love her.
Goodnite dada zangu.


Golden Mpoleeee mbunge mtarajiwa. mzuri na mpole.


Mwaaaaah! Mwaaaaah! Mwaaaah!
 
Jamani this is so cute....
Hata mimi nakupenda sana Golden Mpoleeeee, najua wewe ni mpole ila unapo chokozwa.
Kalale mwaya, msalimie shem wetu, tutaongea zaidi kesho.
Kiss kiss :busu
 
Golden Mpoleeee katokea kuwapenda.
Golden Mpoleeee atafanyia kazi ushauri wenu.
Golden Mpoleeee watu tu hawamuelewi.
Golden Mpoleeee ni mpole mpaka achokozwe.
Golden Mpoleee hataki kuwaudhi kabisa nyie dada zang.
Golden Mpoleeee anaenda kulala sasa ili asiharib.
Golden Mpoleeee loves you and love all who love her.
Goodnite dada zangu.


Golden Mpoleeee mbunge mtarajiwa. mzuri na mpole.


Mwaaaaah! Mwaaaaah! Mwaaaah!

Kapumzike mwaya; kupenda raha kwa kuwa ni simple na hautumii nguvu nyingi; lakini kuhate naona kama yahitaji nguvu zaidi; mimi huwa sipendi kutumia energy yangu kuhate mtu. Kumbuka Mungu ni Upendo; if u can change ur signature, coz naona unatumia a lot of energy kwenye hiyo nyekundu.

Sio maana yangu kuanzisha malumbano, ni ushauri tu.
 
Michelle katokea kukupenda na anapenda ujasiri wako, anapenda mdada anayejiamini,anaheshimu dhamira ya Golden Mpolee kutumikia nchi yake kama mbunge, ataendelea kukushauri na Mwali na First Lady na wadada wengine hapa JF wenye busara kama Lizzy,AshaDii, Kerren_Hapuch,Sweetlady,Dena Amsi na wengine wengi!

Nakuomba mbunge mtarajiwa usichukie kukosolewa tu,kwenye kukosolewa ndo watu hupata ufahamu zaidi kuhusu wao na hekima.

tuko pamoja.....!
 
Kwani we ndo Mpoleeee wa siku zote umekuja na ID mpya au Golden Mpolee mpya wa 2012?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom