Jamani migogoro ndani yandoa nooooumar

MBUFYA

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
445
68
Kunajamaa mmoja alikuwa amekosana na mke wake kias kwamba wakawa hawaongei. mawasiliano ilikuwa ni kwa njia ya kuandikiana ujumbe kwenye vikaratasi.baba akiondoka hasubuhi,anamuandikia mkewe, pesa ya matumizi chukua kwenye droo. sikumoja yule jamaa alipata safari. kabla ya kuondoka jion akamuandikia mkewe, naomba niamshe saa kuminamoj niwah ndege, kwel ilpo fika sa kumi na moj mkew akaandika kikaratas neno AMKA, KISHA pemben ya kitanda. jamaa alipoamka sa moja hasbh, akamuuliza mkewe mbona hukuniamsha?
 
Back
Top Bottom