Tuzungumze msiba na kifo

Fahari MJ

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
422
129
Wakuu ebu tuongee japo mengine yanaweza kuwa ni ugly truth au ni maze ya mila desturi na dini zetu tuongelee misiba na ViFO

Nitaweka dondoo na vichkonozi kadhaa ili kuanzisha mjadala
  1. Kwa nini waafrika/bnadamu tunathamini sana na kuenzi sana mtu akifa kuliko akiwa hai
  2. Kwa nn kwenye kifo na msiba ni rahisi kupata ushiriiano wa jamii (Jirani ndugu marafik etc) ,michago wa hali y juu kuliko kwenye mambo kama harusi au mchango kusoma kujenga, mtoto au hata mtu mgonjwa...
  3. Kwa nin ni rahisi na kawaida watu kusindiiza za msiba kwenda mikoani lakini si wengi tuko tayari kusiniiiza mrafiki ndugu hata jama zetu kwenda Mikoani kwenye sherehe kama ndoa.
  4. Kwa nini msiba inaonekana kuenziwa sana na kirahisi kuliko maisha na uhai.
  5. je kuna msiba unaofana na unaododa. Nini sababu zake?
Haya karibuni tuchambue value ya KIFO
 
Watu wengi waafrika ni washirikina ndio maana wanaabudu misiba, huku wakiamini kuwa ukimsema vibaya marehemu mabaya yatakupata. Hii leo hata afariki mtu kama K au L hamna atakayejitokeza kusema madhaifu yake. Plz hizo herufi sijaweka majina ya watu ni mifano tu kama tunavyotumia X na Y kwenye hesabu.
 
Alafu wengi wanaogopa hata kuongelewa kifo.. wenye X na y na K na L nimekuelewa. lol
 
Hii ni tabu ya kuvimbewa asubuhi.
Waambie kwenu ukifa wakutupe popote.
 
Back
Top Bottom