Kuna uhusiano gani kati ya nyama/pilipili na pombe?

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Nimekuwa mnywaji wa kawaida kwa miezi ya karibuni.
Wakati huo huo mzuka wangu kwa nyama choma na pilipili ukawa mkubwa...
Mwanzo nilikuwa naona hii kitu kwa wanywaji wengine, lakini na mimi nimeanza. Sikuwa mpenzi wa nyama kivile, I'dd rather prefer samaki, na pilipili nilikuwa natumia kidogo sana, tena mara moja moja sana,
lakini nowadays nina hamu sana na mishkaki, halafu kula chakula kilichokuwa saturated na pilipili limekuwa jambo la kawaida.
Naombeni majibu kuntu,
taffwazzahl!
 
kwa jibu la harakaharaka ambalo sio la professional ni mazoea mkuu .."mazoea ni kama sheria"
 
mimi ni mnywaji pia. Ila nyama sili. Chakula changu lazima kiwe na chumvi ya kutosha ambayo wewe hutaiweza. Vitu vya sukari kali kama keki siwezi kula. Upande wa soda ni bitter lemon na tonic tu!
 
Nimekuwa mnywaji wa kawaida kwa miezi ya karibuni.
Wakati huo huo mzuka wangu kwa nyama choma na pilipili ukawa mkubwa...
Mwanzo nilikuwa naona hii kitu kwa wanywaji wengine, lakini na mimi nimeanza. Sikuwa mpenzi wa nyama kivile, I'dd rather prefer samaki, na pilipili nilikuwa natumia kidogo sana, tena mara moja moja sana,
lakini nowadays nina hamu sana na mishkaki, halafu kula chakula kilichokuwa saturated na pilipili limekuwa jambo la kawaida.
Naombeni majibu kuntu,
taffwazzahl!

Dalili za kuwa cha pombe hizo
 
mimi ni mnywaji pia. Ila nyama sili. Chakula changu lazima kiwe na chumvi ya kutosha ambayo wewe hutaiweza. Vitu vya sukari kali kama keki siwezi kula. Upande wa soda ni bitter lemon na tonic tu!

kinywaji unacho tumia itakuwa kachasu!
 
mimi ni mnywaji pia. Ila nyama sili. Chakula changu lazima kiwe na chumvi ya kutosha ambayo wewe hutaiweza. Vitu vya sukari kali kama keki siwezi kula. Upande wa soda ni bitter lemon na tonic tu!

mhm?
Sasa what the hell yenye inanitokea? Soda mimi nilikuwa natumia Soda Water, kuhusu chakula cha sukari, tangu zamani sipendagi.
Sijapata jibu bado!
 
Back
Top Bottom