Masisita du wengi ni wachafu

Masisita du wengi ni wachafu

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,966
Samahani jamani kama hiki ni kibaya kukisema.
Nimetokea kushangaa sana, untamkuta msichana mrembo sana. anavaa nguo mpya kila wakati. kwa kifupi ni sisita du.
Lakini kinachonikera jaribu kutebelea anapokaa mwe, mwe ,mwe, ni wachafu kama nini.
Enyi masisita badilikeni. vitu vya ndani vilingane na vya nje
 
tatizo lako ni huna hela na unataka vinavyoelea

kuna una hela just isiyopungua laki 2.5 ni PM nikupe wasafi wa Arusha nakwambia utameza na visivyomezwa
 
huyo ni wakwako.sidhani kama mtu mwenye akili yake mdada kabisa anaweza kukupeleka kwake kukiwa kuchafu
hapo sikubali kabisa uyo ni wa kwako mchafu tena naturaly
 
huyo ni wakwako.sidhani kama mtu mwenye akili yake mdada kabisa anaweza kukupeleka kwake kukiwa kuchafu
hapo sikubali kabisa uyo ni wa kwako mchafu tena naturaly
Nimejionea kwa macho yangu kabisa siyo kusimuliwa. Unakuta naiti dress imegeuka rangi. na ni hapa hapa bongo. Ukimuona nje uta sema mashallah.
 
Ukiwa mrembo na unavaa nguo mpya ndio usistaduu? Nilikuwa sijui.
 
huwezi ukawa sista duu then ukawa mchafu.

huyo alikuwa na hobby ya kuvaa sio sistaduu huyo
 
na wengine nguo zao ni nzuri na zinavutia....lakiniiiii,wasogelee usikie hiyo harufu ya mwili,unaweza ukatapika
 
watu wengi ni kama wazaire..usafi wao ni kulipuka pamba tu ila makwao siyo pasafi kabisa..! shtukizia kwa mtu one palivyo, ukipanga uende atafanya zimamoto ya usafi. Hi hayo tu!!
Na wewe hao masistaduu uliwatembelea ungewaambia wazi ni wachafu, wangeona aibu na wangebadilika..
 
Nilisha waambia na nitaendelea kuwaambia wawe wasafi bwana siyo barabarani tu
 
Nawapa bg up wale Slim Figure,kwani hakika ni wako smart ..Ila kwa HAWA WANAOJIITA WANA SHAPE NA MABOGA YA HAJA..!!! wengi c wasafi na ni wanapenda mnoo kurudia chu** na huoga one's a day...
 
tatizo lako ni huna hela na unataka vinavyoelea

kuna una hela just isiyopungua laki 2.5 ni PM nikupe wasafi wa Arusha nakwambia utameza na visivyomezwa

Wa A-Town???? yaani kwambaje ni wasaaafi eeh? acha mijicfa mwanamke au kwakua ni Homeland? tena no; 1 uvivu on 6/6
 
Back
Top Bottom