John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake
kwa ajili ya dinner na vinywaji.
Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea,
mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata...
This Student Obtained 0%: What would u have given him ?
Q1. In which battle did Napoleon die?
* his last battle
Q2. Where was the Declaration of Independence signed?
* at the bottom of the page...
Kuna masai alikutana na binti mzuri sana wa sura na umbo uzalendo ukamshinda akawa anamuuliza msichana eti we umesaliwa na mutu au imetengeneswa tu na mutu ikawa inasema apa mbado, hapa mbado...
Je wanaJF, umewahi kukutana na watu wenye wivu mkubwa wa kitu ulichonacho?Watu hawa hutumia saikolojia ya kuponda hicho kitu chako ili ujisikie vibaya na kuchukia kumbe wanaonyesha mauwivu yao...
Atttention VEGETARIANS...!!
Dear Plant Eaters....!!!
Chicken never gave us oxygen..
Chicken never gave us shade ..
Loss of chicken never caused
Global Warming ...
Thn y eat the good plants...
Mmasai alikuwa MC kwenye msiba alipopewa kipaza sauti akasalimia ' MSIBA HOYEEEE'.......MAITI SAFIIIIIIIII.....AMEPENDESA AU HAJAPENDESA..WENYE WIFU IFE KAMA HUYU LAIYONI
Mtoto mmoja alirudi kwao akiwa amenuna kinoma! Mama yake akamuuliza, "Kulikoni?" Mtoto akajibu, "Leo mwalim wa Hesabu hajafika shule!" Mama akafurahi akijua mwanae anapenda sana Hesabu. Akamwambia...
Najua umenisahau. Naitwa Andekelile Lupakisyo Ambindwile Mwambalakata mtoto wa Afwelile Ambwene Mwakisujeje Mwakasokela anko yake na Asangalwisye Mwalunyasyo rafiki wa Bakangana Bukenja Bukomile...
Wakuu mnamjua huyu dereva? ni maarufu sana hapa town ila sijui kama bado yupo town....anapiga ruti za feri mbagala rangi tatu....
Msela ni chizi yaani chizi haswa.....why?
huyu msela...
JAMANI JANA NILIKUWA NAFURAHIA SANA SHEMEJI ZANGU WALIVYOKUWA VICHWA KIVIPIA
KUNA MC MMOJA ALIKUWA ANATANGAZA UWEPO WA WATU WALIOKUWEPO MSIBAN KWA DADAETU REGIA
MPAKA INAFURHISHA
""NATANGAZA...
Lol! these statues really happened!!(NO EDITING)
And that's how you catch a dumbass! Must have been one of the most liked facebook status ever.
(haha hii ata ukifanya leo utawapata watu)...
Makonda Na Majibu Mazuri.
Abiria: "Kuna Kiti au unasema panda tu!?"Konda: "We taahira nini,hao wengine wamekaliandoo?! "
Abiria: "Embu punguzeni sauti ya redio... "Konda: "Sheria za nchi tu...
Panya watatu walikuwa wanabisha nani ni mkali kati yao, Panya wa kwanza;mi naweza kutegua mitego yote ninayotegeshewa. Panya wa pili;mi naweza kunywa maziwa hata yakiwekwa sumu.
Panya wa tatu...
Mambo ya copy n paste..mlugaluga mmoja alikua hana flash diski.. ka copy file kwenye computer ofisini, kachomoa mouse, kaenda nayo home ili aka paste..
Wazungu walitengeneza mtambo wa kuesabu idadi ya vibaka na wezi katika nchi.mtambo ukaletwa Afrika kufanyiwa majaribio}Nchi ya kwanza ilikuwa Nigeria mtambo ukasoma vibaka&wezi...
...zipo nyumba mbili za watu wenye hela hapa jirani na ninapokaa...na watoto wakishua wanaishi humo, lakini wanagawa "fuko la mbolea", na wakongwe wa hili eneo wanadai ni shambaboy alimuanzishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.