Tanzania hapafai!!

Tanzania hapafai!!

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2009
Posts
1,195
Reaction score
232
Kila mtu mwizi! Leo nimeenda dukani kununua vi juice vidogo, eti naambiwa 1500, wakati ni 1000, halafu akaja manager naye akakandamiza
 
Unajua mwenye duka ana chajiwa ushuru asilimia ngapi? Ndg zangu lazima tukubaliane kwamba ili ukombozi wa nchi hii upatikane ni lazima itokee dhiki kuu! And i think what you all see is just the begining, there might be so much more to come!
 
Back
Top Bottom