Hapo Dar,hali ikoje? Wachina wamepungua?

Hapo Dar,hali ikoje? Wachina wamepungua?

trachomatis

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2011
Posts
3,758
Reaction score
746
Leo ni mkesha wa mwaka mpya wa Watu wa China..
Wachina sehemu mbalimbali duniani wamekuwa wakirudi kwao kusheherekea tukio hilo kubwa sana kwao.

Sasa nauliza kwa wale mlio nao hapo Mitaa ya Swahili,na mingine ya Kariakoo,vipi wamepungua?
 
Au pale Mwenge,nadhani kuna mmoja ama wawili,vipi..
 
Umekurupuka wewe bila shaka hujaswaki wewe. Sisi wachina wanatuhusu nn? Si uende nao kama unawapenda? Maspy bwana utawaona tu.
 
Wapo wamejaa tele wanakomaa wanasheherekea hapa hapa DSM
 
Wamejaa kama pishi la mchele linavyojaa ndani ya sufuria.
 
Wapo mkuu,tena wanakaba hadi penati...jana tu nimekatiza mitaa ya Tandika nimekuta mchina fundi cherehani,tena anachukua hadi tenda za kushona viraka.
 
Wapo mkuu,tena wanakaba hadi penati...jana tu nimekatiza mitaa ya Tandika nimekuta mchina fundi cherehani,tena anachukua hadi tenda za kushona viraka.

Wataenda wapi?hata nauli sidhani kama wanayo!
 
Back
Top Bottom