Nimekuwa kwenye kifungo cha mda wa mwezi mzima hapa JF baada ya kupigwa Bann la mwezi mmoja tangia Dec 19, 2011 Jan 19, 2012.
Kama kawaida yangu sijakaa kubweteka bali nimekuwa...
Leo ni mkesha wa mwaka mpya wa Watu wa China..
Wachina sehemu mbalimbali duniani wamekuwa wakirudi kwao kusheherekea tukio hilo kubwa sana kwao.
Sasa nauliza kwa wale mlio nao hapo Mitaa ya...
Kuna tabia ya mawifi yani dada wa bwanaharusi na mama yao/ mama mkwe kupenda kuingilia maisha ya ndoa ya kaka yao/ mwanae mara wamsakame wifi kuwa mbaya, mchoyo nk. Ndo mana ndoa nyingi zinayumba...
Student mmoja akuta matokeo ya necta 4m 4 yamebandikwa ubaoni skonga kwao
student:du! page ya 4 hii coni jina langu
student2:mmh! Au wame epairizi jina langu
student:ahaa kumbe kweli haya...
Kunajamaa mmoja alikuwa amekosana na mke wake kias kwamba wakawa hawaongei. mawasiliano ilikuwa ni kwa njia ya kuandikiana ujumbe kwenye vikaratasi.baba akiondoka hasubuhi,anamuandikia mkewe, pesa...
Mtoto akisali mbele ya wazazi mda wa kulala; Ee Mungu nashukuru kwa kunipa wazazi wakarimu, mbariki huyu kijana anayekujaga kucheza mieleka na dada kitandani na kumlisha sausage iliyo ndani ya...
Mwanamke aliingia kwnye tax akiwa hana nguo,kma alivyozaliwa!Dereva akawa anamshangaa,mwanamke akamuuliza hujawahi kuona mtu akiwa uchi au! Dereva akajibu;ninachoshangaa c uchi wako,najiuliza pesa...
John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea John, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza...
Samahani jamani kama hiki ni kibaya kukisema.
Nimetokea kushangaa sana, untamkuta msichana mrembo sana. anavaa nguo mpya kila wakati. kwa kifupi ni sisita du.
Lakini kinachonikera jaribu kutebelea...
Wakuu ebu tuongee japo mengine yanaweza kuwa ni ugly truth au ni maze ya mila desturi na dini zetu tuongelee misiba na ViFO
Nitaweka dondoo na vichkonozi kadhaa ili kuanzisha mjadala
Kwa nini...
Kuna jamaa alikuwa anaumwa akaenda hospital alipofika hospital,akaenda hadi kwa Daktari .Daktari akamukaribisha aingie ndani jamaa akaingia maongezi yalikuwa kama ifuatavyo Daktari...
Nimekuwa mnywaji wa kawaida kwa miezi ya karibuni.
Wakati huo huo mzuka wangu kwa nyama choma na pilipili ukawa mkubwa...
Mwanzo nilikuwa naona hii kitu kwa wanywaji wengine, lakini na mimi...
Baada ya miaka kadhaa ya ndoa kupita......
MKE : Mme wangu mbona unasoma sana magazeti hadi usiku jamani na mie nakuhitaji!
MUM E;Mh h mhh...... (kamguno kidogo huku akiendelea...
Dazipozi kama kawaida yangu,baada ya kazi narud zngu home,wkti npta uchchroni,nilisikia mabishano kati ya mwanamke na mwanaume ambapo mwanaume alikuwa anasema:"Sasa itakuwaje?"
"Si nimekueleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.