Akili kumkichwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Akili kumkichwa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MKITO, Jan 23, 2012.

 1. MKITO

  MKITO Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata.
  ... Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini ya meza, Fred alipoinama kuichukua akaona nyeti za Lisa ambae hakuwa amevaa chupi. Fred akahamanika kwa
  aibu, japo John hakukugundua.
  ... Baadae kidogo John alipokwenda jikoni kuchukua vinywaji, Lisa akamuuliza Fred:"Umekipenda ulichokiona?"
  Fred: "Ndiyo".
  Lisa: Utakipata kwa laki moja, ila iwe ijumaa mchana maana John huenda site visits kwa wateja wake kila ijumaa.
  Ijumaa ikafika, Fred akaja kwa John na laki na mchezo ukachezwa. John aliporudi jioni akamuuliza mkewe: "Fred alikuja?"
  Lisa akawaza:'Inawez ekana alimuona akija au kaambiwa', akajibu:"Ndiyo, alipita
  hapa mara moja".
  John: "Safi, alikuachia laki moja?"
  Lisa akawaza: 'Huyu atakuwa anajua'.
  Akamjibu mumewe kwa upole:"Ndiyo,
  kaileta".
  John: "Fred ni mwaminifu sana, alikuja
  asubuhi ofisiniakanikopa laki moja na akasema atapita nyumbani akuachie mchana"
  Lisa : akabaki ametoa macho kumbe ametoa bureBaada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata.
  ... Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini ya meza, Fred alipoinama kuichukua akaona nyeti za Lisa ambae hakuwa amevaa chupi. Fred akahamanika kwa
  aibu, japo John hakukugundua.
  ... Baadae kidogo John alipokwenda jikoni kuchukua vinywaji, Lisa akamuuliza Fred:"Umekipenda ulichokiona?"
  Fred: "Ndiyo".
  Lisa: Utakipata kwa laki moja, ila iwe ijumaa mchana maana John huenda site visits kwa wateja wake kila ijumaa.
  Ijumaa ikafika, Fred akaja kwa John na laki na mchezo ukachezwa. John aliporudi jioni akamuuliza mkewe: "Fred alikuja?"
  Lisa akawaza:'Inawez ekana alimuona akija au kaambiwa', akajibu:"Ndiyo, alipita
  hapa mara moja".
  John: "Safi, alikuachia laki moja?"
  Lisa akawaza: 'Huyu atakuwa anajua'.
  Akamjibu mumewe kwa upole:"Ndiyo,
  kaileta".
  John: "Fred ni mwaminifu sana, alikuja
  asubuhi ofisiniakanikopa laki moja na akasema atapita nyumbani akuachie mchana"
  Lisa : akabaki ametoa macho kumbe ametoa bure
   
 2. M

  MUMY A JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Copy.....
   
 3. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Tena ni copy mbaya, amekopi dabodabo...
   
 4. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Paka weeeeeeeeeeeeeee;umekopi bila haya;loooooooooo!!!
   
 5. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  hahaha hahahaha hahaha hahahaa

  hehehehehehe hii ya leo kali,

  yaani sio kopi pesti tu, bali ni kopi pesti dabodabo. Jamani kama huna kipya acha sio lazima kujaza thredi hapa mnatuchosha unafungua posti kumbe ni marudio

  haha hahahahahaha pesti dabo dabo, oooooh dabo dabo
   
 6. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Yani mwizi anaiba kitu kizima kizima!
   
 7. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Umeua mkuu...hahahahahahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 8. fundiaminy

  fundiaminy JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 358
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ilinitokea hio ila nilirudi fastafasta na ku-edit post.hakuna binadam alie kamili wakuu.copy paste ipo tu kwa sana.mueleweni na muelimisheni.guday.
   
 9. b

  bigambo Senior Member

  #9
  Jan 23, 2012
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  afadhali angekopi amefanya paste, hadi nukta mzee
  inabidi iwepo page ya wale wanaopaste thread za watu
   
 10. K

  Kamuzu JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  kuchekesha watu ni kaziiiiii! - the komedi
   
Loading...