Wizi na wezi katika mitandao ya jamii

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,603
Nimekutana na habari kuwa kuna wezi wa mitandaoni ambao wanawadanganya watumiaji wa mitandao hiyo, baadaye kuwaibia.
Kuna wakati hata humu waliwahi kujichomoza (hasa kutoka nchi za Afrika ya Magharibi).

Wizi wa karibuni ni unaofanyika katika facebook ambapo wezi hao wamekopia nembo ya AMAZON kwa kutangaza kuwa wanatoa Gift Card. Maelezo zaidi kuhusu habari hizi ziangalie hapa: Free Amazon.com gift card promotion is a Facebook scam | Naked Security

Ninawashauri watumiaji wa mitandao ya kijamii, ambako unaweza kuona matangazo mengi ya biashara za bei za kutupa na zawadi kemkem, wasijaribu kununua chochote humo. Badala yake, unashauriwa kwenda kwa tovuti rasmi ya biashara husika.
 
Back
Top Bottom