Swali Kwa Kina Dada Au Kina Mama Tu

Swali Kwa Kina Dada Au Kina Mama Tu

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,621
Reaction score
4,312
Kina dada au kina mama! Naomba kujua ni kwanini ukienda Bar na mpenzi wako au awe mke wako mkakaa mezani na kuagiza vinywaji au chakula, mtu wa kwanza kupata huduma anakua ni baba au kaka! Je kuna nini kati ya kina dada au kina mama wao kwa wao? je ni dharau baina ya wao kwao au? hii nimeshaiona sana na sio baa moja tu ambazo nilishawahi kwenda mimi na mpenzi wangu! Nawasilisha.
 
Hama hiyo baa au rstaurant ambayo hawajui au hkuzingatiia ladies kuwa served first?
 
Bar ambazo wahudumu hawajafunzwa, wewe unafaa umwambie huyo mhudumu kuwa ladies first au start by insisting to served by male attendant.
 
Nakunywa kwenye baa wakubwa na wala sio madukani!
 
Hata ukiwaeleza kua Ladies First bado keho watarudio hiyo tabia hata kwa wateja wengine ambao wamekuja na wapenzi wao
 
Wanafanya hivyo wakijua baba ndiye atalipa hivyo huduma nzuri mbele kwanza kwa baba!!!!
ooooooooopsss sorry kumbe ni kwa kina mama na wadada
Kwa heriii.....
 
Hao wahudumu ni KE au ME??!!
Kama ni KE mcheki fresh mpenzi wako!!! Haaahaaa
 
Ndalo bana, mie mwanya wako tu hoi
Kama hedimasta wa shule ya msingi
Basi sijasoma post yako natizama mwanya na suti
Kama tambi na nini, ila nzuri
 
Ni uamuzi tu unaosababishwa na taratibu fulani mtu alizojengewa kuwa ni sahihi....nimelelewa kuwa mwanaume anahudumiwa kwanza..
Niliposoma na kukaa na wa mjini ndo nikajifunza 'ladies first'......siwezi anza kumpa wifi chakula kabla ya mume....ndivyo jamii ilivyonikuza
 
Back
Top Bottom