Utaipata Kwa Laki Moja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utaipata Kwa Laki Moja

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kiraia, Jan 24, 2012.

 1. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Utaipata kwa Laki...
  John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea John, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata. Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini ya meza, Fred alipoinama kuichukua akaona nyeti za Lisa ambae hakuwa amevaa chupi. Fred akahamanika kwa aibu, japo John hakukugundua.

  Baadae kidogo John alipokwenda jikoni kuchukua vinywaji, Lisa akamuuliza Fred: "Umekipenda ulichokiona?"
  Fred: "Ndiyo".
  Lisa: Utakipata kwa laki moja, ila iwe ijumaa mchana maana John huenda site visits kwa wateja wake kila ijumaa.

  Ijumaa ikafika, Fred akaja kwa John na laki na mchezo ukachezwa. John aliporudi jioni akamuuliza mkewe: "Fred alikuja?"

  Lisa akawaza:'Inawezekana alimuona akija au kaambiwa', akajibu: "Ndiyo, alipita hapa mara moja". John: "Safi, alikuachia laki moja?"

  Lisa akawaza: 'Huyu atakuwa anajua'. Akamjibu mumewe kwa upole: "Ndiyo, kaileta".
  John: "Fred ni mwaminifu sana, alikuja asubuhi ofisini akanikopa laki moja na akasema atapita nyumbani akuachie mchana".

  Mimi sio mtunzi wa hii Joke na kama ulishaisoma ipotezee, source yahoo friends,   
 2. M

  MUMY A JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani....ai,hii imerudiwa mpaka keroooo..
   
 3. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mi ndo naiona kwa mara ya kwanza. it is very interesting
  Thanks
   
Loading...