kwanini wana jf wengi wanapenda post za mapenzi??

Ballot

Member
Jan 4, 2012
39
12
nimejiuliza maswali mengi juu ya hili'post za mapenzi na mahusiano na umbeya zina wachangiaji wengi sana ukilinganisha na post za siasa na mambo mengine'hii inaonyesha dhairi ya kuwa aslimia kubwa ya jf members either ni under age maybe under18''au sio magreat thinkers au watanzania ndio tulivyo????
 
kwani kujadili siasa ndio u great thinker?
na watoto wa under 18 ndio wanahusika na mapenzi?
Hahahaha..... mamushka naona jamaa katufungulia chat room kijanjajanja asee!...... Huko kwao mapenzi yanaanzia nasare skul mpaka miaka 18 wanahamia rasmi kwenye siasa.

Ukweli unabakia palepale.... Mapenzi yana-run dunia!
 
nimejiuliza maswali mengi juu ya hili'post za mapenzi na mahusiano na umbeya zina wachangiaji wengi sana ukilinganisha na post za siasa na mambo mengine'hii inaonyesha dhairi ya kuwa aslimia kubwa ya jf members either ni under age maybe under18''au sio magreat thinkers au watanzania ndio tulivyo????

Ebu leta kipimo ulichotumia mkuu kubainisha hayo unayoyafikiria.
 
Hahahaha..... mamushka naona jamaa katufungulia chat room kijanjajanja asee!...... Huko kwao mapenzi yanaanzia nasare skul mpaka miaka 18 wanahamia rasmi kwenye siasa.

Ukweli unabakia palepale.... Mapenzi yana-run dunia!
namshangaa, nlikuwa bado kujua mambo ya mapenzi ni ya under 18, baada ya hapo ni fulu kufia nchi...
 
Ndio maana kukawa na hilo jukwaa mahususi kwa mambo hayo! Then JF ina members karibu 60,000 up to there..! hatuwezi kufanana mawazo! waache wafurahi, wanune, watongozane n.k wewe komaa huku huku kwenye siasa, mbona utapata wa hobbi yako!
 
Hahahaha..... mamushka naona jamaa katufungulia chat room kijanjajanja asee!...... Huko kwao mapenzi yanaanzia nasare skul mpaka miaka 18 wanahamia rasmi kwenye siasa.

Ukweli unabakia palepale.... Mapenzi yana-run dunia!

source: Ali Kiba 4REAL
 
nimejiuliza maswali mengi juu ya hili'post za mapenzi na mahusiano na umbeya zina wachangiaji wengi sana ukilinganisha na post za siasa na mambo mengine'hii inaonyesha dhairi ya kuwa aslimia kubwa ya jf members either ni under age maybe under18''au sio magreat thinkers au watanzania ndio tulivyo????

ni hivi?
Ukiingia kule JS, ukaone jinsi inji inavyoliwa na wenye meno, halafu anakuja mtu kama FF au Rejao anarespond kwa utumbo,
unajikuta umetukana afu umekula ban.
MMU kuko stress-free. Na sisi tumechagua fungu jema!
 
mrisho mpoto alisema tufanye tunachoweza

wewe kama unaweza kuunda chombo cha kwenda mwezini unda, mimi kama naweza kuzaliana niache nizaliane
 
Na kama itatokea kwa bahati mbaya jukwaa hili la mapenzi likaondolewa basi naamini tutapoteza watu wengi sana humu ndani make hata Fb naona wanarudi huku kwa mamia

Lakini mkuu karaha hii nayo yanini...niache kujadili mke wa jirani anavyoturusha kitaa nianze kukaa hapa na kujadili kupanda kwa gharama za umeme?yanini tena?

Najiandaa nije kuwa Prf.wa mapenzi na ikiwezekana pia wanangu nao waweze kuwa na career za mapenzi make soko tayari tunalo...utasema ubongo wangu ni scattered,haya bwana!
 
mrisho mpoto alisema tufanye tunachoweza

wewe kama unaweza kuunda chombo cha kwenda mwezini unda, mimi kama naweza kuzaliana niache nizaliane

mhhhhhhhhhhhhh! naona leo kazi ipo manake, duuuuu!
 
Yanarani dunia eeeeh2X
Unatema big G kwa karanga za kuonjeshwa.

Kama si mapenzi ungekuwa hapo??
 
Hahahaha..... mamushka naona jamaa katufungulia chat room kijanjajanja asee!...... Huko kwao mapenzi yanaanzia nasare skul mpaka miaka 18 wanahamia rasmi kwenye siasa.

Ukweli unabakia palepale.... Mapenzi yana-run dunia!

babu shkamoo ushapona kweli...
 
Back
Top Bottom