Fumbo mfumbie............????!!!

Fumbo mfumbie............????!!!

MUMY A

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
234
Reaction score
39
haya wanajamii tuchangamshe bongo zetu...

kuna watu watatu walikua wanavuka mto...lakini mmoja kati yao alivuka kwa kuyakanyaga maji,wapili aliyaona maji lakini aliyavuka bila kuyakanyaga na watatu hakuyaona maji yale wala hakuyakanyaga.......watu hao walikua nani??????
 
mi nimesha jua but I don't want to spoil it. Sasa kama unataka nisiseme nipe nchi!
 
Back
Top Bottom